Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

Ila siyo Watanzania wote wana national I'd, pia mwenye mamlaka ya ukaguzi wa mizigo ni police
 
Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!,kubebana na kukoana makwenzi.

Ni lazima ,kila mtu kubeba kitambulisho.
Mkoa wa mtwara unapakana na Msumbiji, Kaskazini mwa Msumbiji kuna waasi wa Ansar al-Sunna ambao wanapambana na serikali ya nchi yao! Mara kadhaa waasi hao weshaingia nchini kwetu na kufanya vitendo vya mauaji ikiwemo kijiji cha kitaya! Hata sasa waasi hao hujupenyeza na kuingia mtwara kwa ajili ya kupata mahitajio yao ya vyakula n.k
 
Nilipita hapo Madimba mwezi wa 8 Mwaka jana, Jamaa wanatembea kwenye lori wamebeba boti na wanaonekana wamekula bangi kweli kweli
Aisee!! Jeshi linakagua vitambulisho na mizigo? Hizo siyo kazi za jeshi. Hivi jeshi letu haliani kazi za jeshi zinazofanywa huko Niger, Burkina Faso, Mali na Gabon?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom