Mtwara: Taharuki Tandahimba baada ya madai ya mtoto mchanga kutabiri mvua ya ajabu; wakesha wakinywa uji wa Muhogo

Huo ni mpango wa shetani kutia watu hofu lakini hakuna tukio kama hilo hao watu wa mtwara mhogo in sehemu yao kubwa kama chakula cha kilasiku huo no uzushi wa MTU Fulani tu
 
59fdaec01ef5008830e8d128e2d1d4d7.jpg
990b267970714ec3dc6fad2be80b8cc8.jpg

Dalili za shetani Mas,hida jaall kuwa na umati zaanza kuonekana
 
Nimepigiwa simu saa 10 alfajir nikapewa hizo taarifa. Nikajaribu kulazimisha akili yangu kuamini ila haya maswali yakawa yananipa mashaka!
1. Ushahidi kuhusu huyo mtoto uko wapi? Kazaliwa hospital gan n.k
2. Kifo kapanga Mungu na hatofikiwa mja na umauti mpaka ifike siku yake hivyo hao wadudu kumuua mtu haitatimia ila tu Mungu akipanga
3. Isijekuwa chai za Dr Shika...

Mmakonde mimi nimegoma kunywa huo uji
 
Na je bado anaendelea kuzungumza, au kafunga kauli, tupia kideo.
 
Back
Top Bottom