Mtwara na Lindi wahoji siri ya Lowassa kupitia upya Mikataba ya Gesi

Soma vizuri mada mkuu, wajanja wanahoji , kuna nini nyuma? Lowassa anataka kuwatengenezea njia mafisadi?

Watu washajitengenezea ............. ndiyo maana ilipitishwa faster faster bila hata column kutimia. Lowasa alikuwa na wabunge wengi wa CCM hawakuwepo pia ........... walikuwa wameshaanza kampeni!!
 
UVFISIEM Kazini. Wanampigia saana Lowassa kampeni sijui mgombea/boss wao nani ampigie! Walisha poteza matumaini kilichobakia ni kujitekenya na kucheka wenyewe. Hadi wanatia huruma kila kukicha ni kukurupuka hata hawajiongezi wanachokipost.
 
KAMPENI za mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa alizofanya hivi karibuni katika mikoa ya Mtwara la Lindi , zimewaachia wananchi wa mikoa hiyo maswali mengi ambayo atalazimika kuyajibu na kuyatolea ufafanuzi wa kina pindi atakaporejea tena katika mikoa hiyo kwa ajili ya kampeni.
Lowassa amesema:

Endapo atachaguliwa na kuwa rais wa jamhuri ha Muungano wa Tanzania, atapitia mikataba yote ya gesi asilia ambayo kwa sasa inazalishwa katika Mkoa wa Mtwara.

Swali la wa wana Mtwara na Lindi kwa Lowassa: sheria itakatosimamia mikataba yote ya gesi hiyo ilipitishwa na Bunge lililomaliza muda wake mwanzoni mwa mwezi julai, mwaka huum huku Lowassa mwenyewe akiwa miongoni mwa wabunge waliopitisha sheria hiyo kwanini hakususa kama Ukawa walivyofanya kupinga kupitishwa kwa sheria hiyo kama kweli ana mashaka na mikataba hiyo?
Wasiwasi wa wana Mtwara na Lindi: LOWASSA ANAHISI KWAMBA SHERIA HIYO INAMBANA YEYE NA MAFISADI WAKE WANAOMCHANGIA FEDHA ZA KAMPENI KWA AHADI YA KUJA KUPEWA VITALU VYA GESI, KWA HIYO ANAONA IPO HAJA YA KUIPITIA UPYA ILI IWEZE KUTOA UNAFUU KWA KUMWEZESHA KUTIMIZA AHADI ZAKE ZA KUGAWA VITALU VYA GESI KWA WATU WAKE WAO?

Mkazi mmoja wa mji wa NDANDA, GODFREY NYAMBI, anasema kwa historia ya Lowassa kuhusu mikataba ya uwekezaji nchini, hana anachoweza kuwaeleza wananchi wakamuelewa. "HISTORIA YA UTENDAJI WA LOWASSA KATIKA ENEO HILI LA MIKATABA , INAFAHAMIKA KWA KILA MWANANCHI , KILA MKATABA ALIOSIMAMIA LOWASSA AKIWA SERIKALINI UNA HARUFU YA UFISADI NA KUNYONYA UCHUMI WA NCHI HII" anasema Nyambi na kuhoji. Ni mwananchi gani amesahau mkataba wa RICHMOND, ni mwananchi gani amesahau DILI LAKE LILILOSHINDWA LA KULETA MVUA KUTOKA THAILAND? n.k

UKWELI KUHUSU GESI YA MTWARA: Shirika la Maendeleo ya Petroli(TPDC) zinasema, sheria hiyo ya mikataba wa gesi ambayo Lowassa anasema ataipitia upya endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania , Inaitaka Serikali , pamoja na mambo mengine , kuwa mmiliki mkuu wa vitalu vyote vya gesi kwa kati ya asilimia 65 hadi 75, huku wawekezaji wote binafsi , awe wa ndani au nje , akitakiwa kumiliki hisa za kati ya asilimia 25 na 35. Kwa mujibu wa Sheria hiyo, msimamizi mkuu wa rasilimali hiyo ya gesi asilia kwa niaba ya serikali , watakuwa TPDC wenyewe. Taarifa hizo zinafafanua kwamba Shirika hilo, pamoja na mambo mengine, linatakiwa na sheria hiyo kuunda mfuko Maalum wa Gesi, ambao utahusika kuhifadhi fedha zote zitakazotokana na gesi kwa ajili ya manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.

KADI MPYA ZA CCM: Baadhi ya wa wananchi wa jimbo la MTAMA, Mkoa wa Lindi lililokuwa likiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje, BENARD KAMELIUS MEMBE na linalogombewa na Katibu wa NEC , Itikadi na uenezi, NAPE MOSES NNAUYE wamedai kuwa siku ambayo LOWASSA na timu yake ya Kampeni walifika jimboni humo kwa lengo la kufanya Kampeni zao, WALIKUWA NA LUNDO LA KADI MPYA ZA CCM. Wananchi hao wamedai kuwa timu hiyo ya kampeni za Lowassa walidawa mpya za CCM ambazo hadi sasa haijajulikana walizipata wapi na kuzigawa kwa baadhi ya wanancni wa jimbo hilo wakiwa na maelekezo maelekezo ya kuzirejesha kadi hizo wakati wa mkutano wake wa Kampeni uliofanyika jimboni humo ili ionekane kuwa hao wanaorudisha kadi ni wana CCM walioamua kuachana na chama hicho na kujiunga na CHADEMA.

Itakumbukwa kuwa kwa muda mrefu Membe na Nape wamekuwa na uhasama wa kisiasa na Lowassa , hasa baada ya mwanasiasa huyo kuiingiza CCM na Serikali yake katika kashfa nzito ya UFIASADI unaohusiana na KAMPUNI YA RICHMOND akiwa Waziri Mkuu kati ya mwaka 2006 na 2007, lowassa andaiwa kuibeba na kuipatia upendeleo kampuni ya hiyo ya Richmond katika zabuni ya kufua umeme wa dharura.
Uhasama wa Lowassa na NAPE pia unatokana na mwanasisa huyo kijana(NAPE) kuibua ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanywa na LOWASSA katika ujenzi wa Jengo la Umoja wa vijana wa CCM(UVCCM) lililopo makutano ya barabara ya morogoro na ile ya Lumumba.
Baadhi ya wananchi wa Mtama wamekwenda mbali na kumtuhumu Lowassa kwamba huenda kadi hizo zilitengenezwa mahsusi kwa gharama yake na kusambazwa katika jimbo lao ili kuendeleza mchezo wake mchafu wa kisiasa dhidi ya CCM.
SOURCE: MKAKATI

View attachment 293636

ni kweli atapitia mikata yote ili wananchi waweze kujua udharura uliolikumba taifa hadi sheria muhimu kama hizi zipitishwe kwa hati ya dharura.wananchi tutataka kujua umuhimu wa udharura wa sheria za kulinda mikataba hii
 
Soma vizuri mada mkuu, wajanja wanahoji , kuna nini nyuma? Lowassa anataka kuwatengenezea njia mafisadi?

Safari ya mabadiliko inaendelea.Usitutoe njiani. Tutaijadili mada baada ya 25/10/2015 kama itakuwa na umuhimu.
 
Ni kweli, pilika zote hizi mzee anatafuta gesi wa ajili ya watoto wake na marafiki zake. Kwa hali halisi Lowassa alitakiwa akae nyumbani kwake apumzike ale marupurupu ya uwaziri mkuu na pesa za malipo ya mikataba mibovu aliko na hisa. Lakini ana uchu na hiyo gesi balaa. Mbona kwenye madini tunaibiwa na hajasema chochote huko? Ni kwa sababu kuna mikataba ya madini ilisainiwa na Karamagi na yeye Lowassa akiwa waziri mkuu na huko ana hisa ndo maana hasemi chochote huko. Kwenye gesi huku hana mkono ndo maana anatafuta namna ya kupenyeza mkono wake huko akatuibie vizuri. Sema hapana kwa Lowassa kwenda ikulu.
 
Nitawashangaa sana watakaomsikikiza LOWASSA kuhusiana na mkataba wowote ule, sumu haitambuliwi kwa kuonjwa.

tunakumbukumbu za kutosha kabisa angalia hansad za bunge siku mswada unapitishwa lowassa alikuwa mikoani anatafuta wadhini
 
KAMPENI za mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa alizofanya hivi karibuni katika mikoa ya Mtwara la Lindi , zimewaachia wananchi wa mikoa hiyo maswali mengi ambayo atalazimika kuyajibu na kuyatolea ufafanuzi wa kina pindi atakaporejea tena katika mikoa hiyo kwa ajili ya kampeni.
Lowassa amesema:

Endapo atachaguliwa na kuwa rais wa jamhuri ha Muungano wa Tanzania, atapitia mikataba yote ya gesi asilia ambayo kwa sasa inazalishwa katika Mkoa wa Mtwara.

Swali la wa wana Mtwara na Lindi kwa Lowassa: sheria itakatosimamia mikataba yote ya gesi hiyo ilipitishwa na Bunge lililomaliza muda wake mwanzoni mwa mwezi julai, mwaka huum huku Lowassa mwenyewe akiwa miongoni mwa wabunge waliopitisha sheria hiyo kwanini hakususa kama Ukawa walivyofanya kupinga kupitishwa kwa sheria hiyo kama kweli ana mashaka na mikataba hiyo?
Wasiwasi wa wana Mtwara na Lindi: LOWASSA ANAHISI KWAMBA SHERIA HIYO INAMBANA YEYE NA MAFISADI WAKE WANAOMCHANGIA FEDHA ZA KAMPENI KWA AHADI YA KUJA KUPEWA VITALU VYA GESI, KWA HIYO ANAONA IPO HAJA YA KUIPITIA UPYA ILI IWEZE KUTOA UNAFUU KWA KUMWEZESHA KUTIMIZA AHADI ZAKE ZA KUGAWA VITALU VYA GESI KWA WATU WAKE WAO?

Mkazi mmoja wa mji wa NDANDA, GODFREY NYAMBI, anasema kwa historia ya Lowassa kuhusu mikataba ya uwekezaji nchini, hana anachoweza kuwaeleza wananchi wakamuelewa. "HISTORIA YA UTENDAJI WA LOWASSA KATIKA ENEO HILI LA MIKATABA , INAFAHAMIKA KWA KILA MWANANCHI , KILA MKATABA ALIOSIMAMIA LOWASSA AKIWA SERIKALINI UNA HARUFU YA UFISADI NA KUNYONYA UCHUMI WA NCHI HII" anasema Nyambi na kuhoji. Ni mwananchi gani amesahau mkataba wa RICHMOND, ni mwananchi gani amesahau DILI LAKE LILILOSHINDWA LA KULETA MVUA KUTOKA THAILAND? n.k

UKWELI KUHUSU GESI YA MTWARA: Shirika la Maendeleo ya Petroli(TPDC) zinasema, sheria hiyo ya mikataba wa gesi ambayo Lowassa anasema ataipitia upya endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania , Inaitaka Serikali , pamoja na mambo mengine , kuwa mmiliki mkuu wa vitalu vyote vya gesi kwa kati ya asilimia 65 hadi 75, huku wawekezaji wote binafsi , awe wa ndani au nje , akitakiwa kumiliki hisa za kati ya asilimia 25 na 35. Kwa mujibu wa Sheria hiyo, msimamizi mkuu wa rasilimali hiyo ya gesi asilia kwa niaba ya serikali , watakuwa TPDC wenyewe. Taarifa hizo zinafafanua kwamba Shirika hilo, pamoja na mambo mengine, linatakiwa na sheria hiyo kuunda mfuko Maalum wa Gesi, ambao utahusika kuhifadhi fedha zote zitakazotokana na gesi kwa ajili ya manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.

KADI MPYA ZA CCM: Baadhi ya wa wananchi wa jimbo la MTAMA, Mkoa wa Lindi lililokuwa likiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje, BENARD KAMELIUS MEMBE na linalogombewa na Katibu wa NEC , Itikadi na uenezi, NAPE MOSES NNAUYE wamedai kuwa siku ambayo LOWASSA na timu yake ya Kampeni walifika jimboni humo kwa lengo la kufanya Kampeni zao, WALIKUWA NA LUNDO LA KADI MPYA ZA CCM. Wananchi hao wamedai kuwa timu hiyo ya kampeni za Lowassa walidawa mpya za CCM ambazo hadi sasa haijajulikana walizipata wapi na kuzigawa kwa baadhi ya wanancni wa jimbo hilo wakiwa na maelekezo maelekezo ya kuzirejesha kadi hizo wakati wa mkutano wake wa Kampeni uliofanyika jimboni humo ili ionekane kuwa hao wanaorudisha kadi ni wana CCM walioamua kuachana na chama hicho na kujiunga na CHADEMA.

Itakumbukwa kuwa kwa muda mrefu Membe na Nape wamekuwa na uhasama wa kisiasa na Lowassa , hasa baada ya mwanasiasa huyo kuiingiza CCM na Serikali yake katika kashfa nzito ya UFIASADI unaohusiana na KAMPUNI YA RICHMOND akiwa Waziri Mkuu kati ya mwaka 2006 na 2007, lowassa andaiwa kuibeba na kuipatia upendeleo kampuni ya hiyo ya Richmond katika zabuni ya kufua umeme wa dharura.
Uhasama wa Lowassa na NAPE pia unatokana na mwanasisa huyo kijana(NAPE) kuibua ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanywa na LOWASSA katika ujenzi wa Jengo la Umoja wa vijana wa CCM(UVCCM) lililopo makutano ya barabara ya morogoro na ile ya Lumumba.
Baadhi ya wananchi wa Mtama wamekwenda mbali na kumtuhumu Lowassa kwamba huenda kadi hizo zilitengenezwa mahsusi kwa gharama yake na kusambazwa katika jimbo lao ili kuendeleza mchezo wake mchafu wa kisiasa dhidi ya CCM.
SOURCE: MKAKATI

View attachment 293636

Lowasaa alikua sahihi.
 
Back
Top Bottom