Majimbo yaliyochukuliwa na ukawa mpaka sasa hivi
mtwara region
1. Mtwara mjini (cuf)
2. Ndanda (cdm)
3. Tandahimba (cuf)
4. Mtwara vijijini (cuf)
5. Newala mjini (cuf)
lindi region
1. Nachingwea
2. Liwale
Ndanda alikuwa anagombea nani kupitia CUF..?
Nasikia hawa ghasia kifo cha mende
Majimbo yaliyochukuliwa na ukawa mpaka sasa hivi
mtwara region
1. Mtwara mjini (cuf)
2. Ndanda (cdm)
3. Tandahimba (cuf)
4. Mtwara vijijini (cuf)
5. Newala mjini (cuf)
lindi region
1. Nachingwea
2. Liwale
Mkuu lawama hazistahili maana dsm ndio imejaa wasomi lkn angalia ccm inavyo kumbatiwa
Ila Newala katangazwa Mh Mkuchika... Kama mshindi... Sasa wafuasi wa Ukawa hawakukubali matokeo hayo..
Dola imeanza kazi yake
vp ashatangazwa huyo mwambe.?
ndanda hakukua na mgombea wa cuf,ukawa iliwakilishwa na CDM though kulikua na mgogoro na NLD..,matokeo yapoje huko?