Mtwara kwachafuka tena

Mtwara kwachafuka tena

Status
Not open for further replies.
I know Mtwara very well u macka faka.And I know Wanamtwara very well and not u dog!...fuc-k u..!
Don't think that everyone is interested with the stupidity of bodabodas.
They are always demanding nonsense.
Go to hell u kokroch of Mtwara.
Fuk.

He! makubwa.
 
Mikoa ya pembezon unamaanisha Dar, Tanga,Arusha, Mbeya na ipi mingine?

Ukiacha hao waoga wa Tanga na Dar, hiyo mikoa mingine tajwa ni wataalamu wa kulianzisha, hadi serikali inafyata.
 
Sasa unaona hilo sio kosa?
#Sinziga na uelewa wake mdogo anashabikia eti wanaonewa!
Kwani sheria inasemaje kuhusu kuvaa helmet kwa muendesha pikipiki?
Wamakonde wabishi sana na sio waelewa,mtailalamikia hiyo mnayoiita Policcm hadi mshike adabu.
Tii sheria kwa upande wako kwanza halafu uone nani atakusumbua.
Siku Police anataka akupige faini eti kwa kuwa umevaa helmet au unatembea na leseni yako mfukoni njoo utuambie.
Yatafanyiwa kazi malalamiko yako na sio kuja kuleta umburula hapa.

Mkuu uliona wapi mtu yupo petrol stationtena anawekan mafuta ynakuja kumkamata eti hana helmet? Ndo sheria za usalama zinavyosema?
Hii mipolisi hata sheria haizijui
 
Mkuu uliona wapi mtu yupo petrol stationtena anawekan mafuta ynakuja kumkamata eti hana helmet? Ndo sheria za usalama zinavyosema?
Hii mipolisi hata sheria haizijui

Sasa wewe hapo unajiona unazijuuuuuuua...!?
Unadhani watu woooote wana akili ndogo kama zako na za madereva bodaboda wenzako?
 
Unataka kutuaminisha kuwa unawafaham wana mtwara na mtwara zaidi ya unavyowafaham mama yako na baba yako? Hongera sn.

Point less...!
Yaani hapo umeropoka hata bila ya kuhusisha akili hata chembe zaidi ya kunukuu mawazo ya watu.

Unanifanya nizidi kuamini kuws hakuna mtu mwafrika anayeizidi akili ta mzungu,hata awe mtoto mdogo.
 
Ni kweli na hii ilianza baada ya polisi kumkamata dereva bodaboda leo asubuhi akiwa sheli maeneo ya Bima wakati akijaza mafuta na sababu ikiwa eti hajavaa helmet . Baada ya hapo hali ilitibuka kwa kiasi kikubwa huku mji mzima ukiwa umejaa wasiwasi hasa baada ya mabomu ya machozi kuanza kurushwa ovyo na hawa Policcm
Polisi jamii inaingilia sana kazi ya Polisi usalama barabarani...inakuaaje pikipiki umeipaki sehemu halafu polisi anakuja kukukamata? Something wrong somewhere! !
 
Sasa wewe hapo unajiona unazijuuuuuuua...!?
Unadhani watu woooote wana akili ndogo kama zako na za madereva bodaboda wenzako?

Kweli we ni shida aisee...hata pikipiki ikiwa imepaki kwa fundi ikisubiri matengenezo utaenda kuikamata eti haina breki au dereva wake hana helmet. ..
Sishangai koo za panya, Mtwara unayoifahamu wewe sio hii ya leo. Stuka.
 
Sasa sheli wanakaza breki?
Stop..!wewe ni mmakonde?
Nisije nikavuja jasho kumuelekeza mmakonde.!
 
Polisi wapuuzi sana watamkamataje mtu yuko sheli anaweka mafuta kisa hakuvaa helment. Kwani hapo alikuwa barabarani? Siku zote polisi ni waonevu tu.
 
Wala hamna kitu,.nlikuwa nashangaa tu. Mwenzio me mgeni hapa mjini basi ushamba bado haujanitoka.

Basi jua kuwa wanamtwara wapigwe tuu na bodaboda pamoja na gesi yao.
Kwani hawana akl timamu.
 
Polisi wapuuzi sana watamkamataje mtu yuko sheli anaweka mafuta kisa hakuvaa helment. Kwani hapo alikuwa barabarani? Siku zote polisi ni waonevu tu.

Umeona eeh...kuna kiumbe kinaitwa y-n sijui wa wapi hana hoja kabisa, pandikizi magamba flani.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom