Mtwara kwachafuka tena

Mtwara kwachafuka tena

Status
Not open for further replies.

Chasoda

Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
66
Reaction score
33
Kwa mara nyingine tena asubuhi hii mji wa mtwara umekumbwa na milipuko ya mabomu kuwatawanya madereva pikipiki waliokuwa wanaandamana kupinga unyanyasaji unaodaiwa kufanywa na polisi.

Wanajeshi wameanza kushika doria katika maeneo kadhaa ya mji huu huku maduka ktk soko kuu yakiwa yamefungwa.

Nitawaletea yatakayojiri.
 
Nawapenda wamakonde wana misimamo isiyoyumba no matter how wrong or right they may be..!

Wajinga sana hawa madere a bodaboda.
Wanadhani tz nzima shughuli zetu ni kuendesha bodaboda tu.
Wapigwe tuu.
 
Wajinga sana hawa madere a bodaboda.
Wanadhani tz nzima shughuli zetu ni kuendesha bodaboda tu.
Wapigwe tuu.

Acha ufala ww unadhani kila mtu anapenda kunyanyaswa bila sababu na serkalyako batili hiyo ccm...
Hata punda akichoka anamgomea bwana wake. Amka ww usiwe na mawazo mgando. Mnaboa sana nyie watu.
 
Sasa ishu ni bodaboda kila kona eh?

Kwa ujinga na upuuzi wa mamlaka yetu na political driven decisions tumefika hapa tulipo ,tuliacha kuweka sheria na tararibu mapema kabla hii biashara haijashamiri sasahivi tunachukua maamuzi ya zimamoto
 
Acha ufala ww unadhani kila mtu anapenda kunyanyaswa bila sababu na serkalyako batili hiyo ccm...
Hata punda akichoka anamgomea bwana wake. Amka ww usiwe na mawazo mgando. Mnaboa sana nyie watu.

Kwenda zako na bodaboda yako!
Ussenge wako unadhani utakubaliwa na kila mtu?
Ukitaka kufanya kazi under no any condition beba familia,yako kokroc' wewe.
 
Mabomu bado yanasikika na watu wamesitisha shughuli zao japo kuna wachache wanaendelea kwa wasiwasi na tahadhari.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom