Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Mbakane wenyewe muisingizie Serikali?
Hivi ni nini kilichopelekea wakapigwa? kama si kushawishiwa na vyama vya siasa visivyoitakia mema hii nchi na kuwashawishi kuingia mitaani?
Mkiingia tena mitaani kujaribu kufanya fujo, mtapigwa tu.
Mbona mimi natokea sehemu yenye utajiri wa gesi katika Tanzania lakini sijaingia mitaani nimeziona fursa na nimeanza kuzichangamkia, tartiibu bila fujo, nikianzisha fujo hizo fursa ntazitumia kweli?
Kwanza bomba tu la gas limepita kwenye shamba letu, tumekula millioni 60 za fidia, tumepewa sehemu mpya ya kulima na bulldozer la bure kuja kutung'olea visiki,siku mbili tu eka 60 kweupeee, tractor la bure la kutulimia, tukingoja tractor letu tulilokopa kufika kwani shamba letu lilikuwa limesha limwa. Uuu yake tumepewa hati ya kimila within 1 week, juu yake tumeweza kukopa tractor kwa hiyo hati ya kimila, sasa tena tumeshapanda na tumeweza kuchimba kisima kirefu, tunaunganisha mabomba ya "drip irrigation" burdaaan wa sharaba isingekuwa hilo bomba kupita la gas kupita tungeyapata yote hayo?
Wananchi wakae chini wazione fursa zilizopo, kila mmoja atafaidika ikiwa tu watakaa na kutazama fursa zilizopo na si kusikiliza vyama vya uchonganishi.
Wacha Hadithi na Porojo, Kijiji gani kwenu maana maeneo yangu ya Kukazi hayo.