MTWARA! Kimya kingi Kina mshindo..

Napita tu shughuli zangu mchana wa leo zilikuwa ngumu sana pale ofisini kwangu.
 
Serikali ina mabavu hadi upande wa Pili...laikini jiulize ni mradi gani uliowahi kuendelea "successfully" bila ridhaa ya wananchi??

Mkuu Sizinga,

With all of my due respect to you comrade,kwanza napenda kabs kuchukua nafasi hii kukuambia ya kwamba haupo peke yako katika hili,haupo pekeyako katika kila aina ya kejeli,dharau au matusi yanatolewa humu ndan na baadhi ya watu kwa kuangalia ukimya uliopo mtwara na muendelzo wa shughuli za mradi wa gesi ndan ya mkoa wetu huu,

Kwanza watu wanachopaswa kufaham ni kwamba harakati za mtwara hazikuwa na haziwez kuwa harakati za kipuuzi kama zinavyofanywa arusha na baadhi ya watu kwa masalhi ya huko pekeee bila kujali UTAIFA,harakati za MTWARA ni harakati za ukombozi wa taifa lote kwa UJUMLA,

SIZINGA,WAPO WAPUUZI wanadhani kwamba zile zilikuwa ni harakati za chama fulani,kias kwamba mtu ukionekana kukikokosoa chama hiko basi inaonekna umenunuliwa au umekubali matokeo,hilo sisi halitupi shida,SLOGAN YETU IPI WAZI KABISA,NAYO NI UTAIFA,GESI KWNZA SIASA BAADAE,GESI KWANZA VYAMA BAADAE,NA KATIKA HARAKATI ZILE
WAMESHIRIKI WATU WA AINA MBALI MBALI,NA MAKUNDI YA AINA MBALI MBALI,VIJANA.WAZEE,WANAWAKE,MADHEHEBU MBALI MBALI YA DINI NA KADHALIKA,LABDA KAMA HAO JAMAA WATAKUWA WAMESAHAU,SISI TUKO IMARA BADO.

MADAI YETU TUMESHAYAFIKISHA,TUNACHOFANYA KWA SASA NI KUKAA KIMYA KUANGALIA UTEKELEZAJI,KAMA WAKIPUUZA HII MIUNDOMBINU SI IPO??WATAWEZA KUILINDA YOTE KUNAZNIA MTWARA TO DSM MILELE??


SO,HAO WAPUUZ WAPUUZ WANAODHANI SISI TUPO KWENYE HARAKATI KAMA HIZI KINJAA NJAA NA KUTUMIWA KAMA WANAVYOTUMIWA WAO NI WA KUWADHARAU TUH,CCM WENYEWE WANAJUA SHUGHULI ILIYOPO MBELE YAO,SISI HATUNA TIME NA WANASIASA,SISI TUNASIMAMIA HAKI ZETU NA RASILIMALI YETU KWA MASLAHI YA TAIFA.
 

Haki haitapotea Bure Mkuu kiwatengu,

Na ukimya uliopo sio kwamba watu wameamua kuwa wanyonge na kupotea kwenye kusimamia haki zao,

MADAI AMBAYO WANAKUSINI WAMEKUWA NAYO YAMEZUNGUMZWA NA IKUMBUKWE ILIUNDWA HADI KAMATI YA BUNGE MAALUMKUJA KUSIKILIZA NA KUYAFANYIA KAZI MADAI YETU,SISI HATUWEZ KUWA WENDAWAZIMU TUINGIE BARABAAN NA KUFANYA MJI WETU USIKALIKE NA KUWA SEHEMU NJEMA YA KUISH ILI HALI TUNAJUA FIKA KWAMBA KILIO CHETU TAIFA ZIMA LIMESKIA NA LIPO NYUMA YETU,KINACHOFANYIKA KWA SASA PAMOJA NA UKIMYA HUU NI KUANGALIA OUTCOMES KATIKA YALE AMBAYO TUMEYAWASILISHA,SISI TUNAJITAMBUA,HATUWEZ KUTUMIKA KIPUMBAVU NA WANASIASA KAMA WANAVYOTUMIKA WATU WENGINE
 
mtwara wanajeshi wameenda kimya mpaka leo gesi inaenda dar hakuna pingamizi hata mkijengewe kiwanda elimu hamna majanga full..
 
thats way i real like you bid show umeongea ukweli kuwa yalitakiwa tuyazungumze tumeyazungumza na tunaenaendelea kuyafaya kwa pande zote mbili
 
Huko kusini mpompo tu, mlipopigwa mkwara tu jeshi, mkakaa porini hakuna wa kudhubutu ten! na hicho kiwanda cha dangote ni geresha tu!
 
Kama mmetuliza ball watz wote tunafurahia. Tutakua mashahidi kuhakikisha ahadi zinatekelezwa.
 

Ni kweli mkuu.
Na hii kauli yako, waielewe wale wote wanaodhani umenunuliwa.
 
Ingekuwa Serikali inaundwa na chama kingine, gesi isingetafutwa na kuchimbwa? Fataan.

Tumia Akili,
Wengine wangewasikiliza na kuwatendea haki wana Mtwara kuliko kuwapiga na kuwabaka.

Haki haipotei ila inacheleweshwa.

Hakika ipo siku mtajutia kuwapuuza wale wote wenye malalamiko zidi yenu.
 


THE BIG SHOW

Hakika umesahahu au umeshalevya na kitu, Mimi nakushahuri tulia ndugu na kaa kimyaa kwa sasa unayoyandika humu hayaendani na wewe na ulichowahi kuandika humu,.

1. Hivi si wewe ndiye ulikuwa unashangilia humu uhabiri na kupigw akwa serekali na polisi huko Mtwara wakati ule? leo umesahau?
2. Hivi mmetulia baada ya KUJITAMBUA au baada ya Kipigo na Kutulizwa ?

3. Huku ukijitamba hamuwezi fanya uharibu, hapohapo unajisahau na kujitapa kuwa hawawezi kulinda hili bomba la gesi kana kwamba MTALIHUJUMU? sasa ukishalihujumu bomba si utakuwa ushaenda kinyume na mamenno yako? au unafikiri ukihujumu bomba uharibibu utakuwa ni ULAYA? au kwa TAIFA hili hili?
Au huo MKOPO huko CHINA wewe unafikiri na kujidangaya HAKUHUSU?

Narudia tena tafadhali kaa kimya ndugu kajipange tena na kwa sasa inaonekana KIPIGO alichopata ZITTO kimekuchanganya SANA SANA kiasi umejisahahu na ujitambui tena.

Mimi wewe nakukumbusha tu kuwa kwa haya ulio andika hapa wewe ni MNAFKI na hata DINI YETU imesema hivyo na hata DINI YAO imesema hivyo Nitakuwekea SIFA KUU ZA MNAFIKI ujikumbushe.
 
Last edited by a moderator:
THE BIG SHOW

SIFA KUU ZA MNAFKI:
1.DINI YETU

{1} Akiongea husema Uongo

{2} Akiaminiwa Haaminiki

{3}Akitoa Ahadi Hatekelezi

Izo ndizo sifa 3 kubwa za Mnafki!!


2. DINI YAO:


CC: Shukrani kwa kbm na @Howty Lady bila kumsahahu mwanzilishi wa hii thread ya UNAFKI ndugu vamda ya Tarehe 28/11/2013.

Thread: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/561019-mtu-mnafiki-utamtambuaje.html
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu.
Na hii kauli yako, waielewe wale wote wanaodhani umenunuliwa.

Ni kweli unakubaliana naye kuwa hawafanyi UHARIBIFU?
Hivi walio choma MAGARI HALMASHAHURI, HOPSPITALI, MAJENGO, MAHAKAMA NA UHARIBU MWINGINE MWINGI WKATI ULE MPAKA WANAJESHI WALIPOKUJA KUWATULIZA HAWAKUWA HAWA?

Hivi huyu THE BIG SHOW si ndio alikuwa mstari wa mbele na kushangilai humu?
tafadhali kiwatengu tuwe w akweli wansfisi mwenyezi Mungu hapendi hii hali ya KUWA MNAFKI na hakika wamengamia wote wenye kushiriki na kuushabikia UNAFKI.
 
Last edited by a moderator:

Akili zako zinafaa uwe mkulima wa uyoga.
 
Tumia Akili,
Wengine wangewasikiliza na kuwatendea haki wana Mtwara kuliko kuwapiga na kuwabaka.

Haki haipotei ila inacheleweshwa.

Hakika ipo siku mtajutia kuwapuuza wale wote wenye malalamiko zidi yenu.

Mbakane wenyewe muisingizie Serikali?

Hivi ni nini kilichopelekea wakapigwa? kama si kushawishiwa na vyama vya siasa visivyoitakia mema hii nchi na kuwashawishi kuingia mitaani?

Mkiingia tena mitaani kujaribu kufanya fujo, mtapigwa tu.

Mbona mimi natokea sehemu yenye utajiri wa gesi katika Tanzania lakini sijaingia mitaani nimeziona fursa na nimeanza kuzichangamkia, tartiibu bila fujo, nikianzisha fujo hizo fursa ntazitumia kweli?

Kwanza bomba tu la gas limepita kwenye shamba letu, tumekula millioni 60 za fidia, tumepewa sehemu mpya ya kulima na bulldozer la bure kuja kutung'olea visiki,siku mbili tu eka 60 kweupeee, tractor la bure la kutulimia, tukingoja tractor letu tulilokopa kufika kwani shamba letu lilikuwa limesha limwa. Uuu yake tumepewa hati ya kimila within 1 week, juu yake tumeweza kukopa tractor kwa hiyo hati ya kimila, sasa tena tumeshapanda na tumeweza kuchimba kisima kirefu, tunaunganisha mabomba ya "drip irrigation" burdaaan wa sharaba isingekuwa hilo bomba kupita la gas kupita tungeyapata yote hayo?

Wananchi wakae chini wazione fursa zilizopo, kila mmoja atafaidika ikiwa tu watakaa na kutazama fursa zilizopo na si kusikiliza vyama vya uchonganishi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…