Mtwara: Kaimu Mkurugenzi aliyetaka Mwekezaji kulipa Tsh. Milioni 31.6 ya vikao, kuchukuliwa hatua

unachanganya boss
President hateui kaimu....

Huyo amepewa nafasi ama iko wazi hakuna mkurugenzi ama mkurugenzi yuko likizo a a nje ya kituo huyo kaimu anashikilia kwa muda mfupi tu
Kwa hivyo mkuu hana CV yake? wala hana taarifa ya uwepo wa mtu wa aina hiyo kwenye huo mkoa?!
 
Hapo PM ilikuwa amtimue mara moja maana labda na aliemwachia kumshughulikia lao moja
 
Kaimu anawezs kuteuliwa na wizara ama mteuliwa mwenye ofisi anapoondoka nje ya kituo cha kazi.

Huwa haihitaji kumjulisha president wala waziri mkuu...

Ni tararibu za kazi za kila siku.

So the answer is yes hawezi kuwa na taarifa.

Kwa hivyo mkuu hana CV yake? wala hana taarifa ya uwepo wa mtu wa aina hiyo kwenye huo mkoa?!
 
Back
Top Bottom