PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Wenzenu wa Ngorongoro walikusanya na kurudisha kadi za CCM. Serikali ya CCM ikasalimu amri ikawarudishia ardhi yao kutoka kwa mwekezaji.
Jaribuni labda na nyinyi mnaweza kufanikiwa maana hakuna kitu CCM inaogopa kama wanachama wake kurudisha kadi. Msisahau kuwaita BBC ili waonesho tukio hilo LIVE.
MTWARA BADO NGOMA
MBICHI...VITA YAHAMIA CCM....KAMA SIYO SIASA BASI NI HAKI YAO
Kwa wale ambao walikuwa wanadhani hali ni shwari na mambo yanaenda sawa
Mtwara kuhusu suala la Gesi, hawapo sahihi sana.
Kuna watu bado wananung'unika katika mioyo yao.
Mkakati wa kukusanya kadi za CCM na kurudisha au kuzichoma
moto unaratibiwa.
Tarehe 29/05/2013 ingawa
taarifa sio rasmi kunaweza kusiwe na shughuli yoyote.
Watuhumiwa wa vurugu (wengi wao vibarua wa
ujenzi wa bara bara na wanafunzi wa vyuo pamoja na vijana wa mtaani)
wamefikishwa mahakamani kwa shitaka la uchochezi na wamenyimwa
dhamana.
acha uchochezi gwanda la kaki wewe
Mkakati wa kukusanya kadi za CCM na kurudisha au kuzichoma moto unaratibiwa.
mkuu unaushahida na ulichikuandika?safi kabisa!taa za uwanja wa ndege walizong'oa na kuzipeleka arusha wameshazirejesha?
hawa ni wasaliti wanaotumiwa kuleta machufuko hapa nchini kwa maslahi ya mahawala wa makatibu wakuu wa vyama vyao ni bora wafanyiwe sherehe kabisa warudishe kadi za chama kitakatifu kisha wakabidhiwe za chama chao na kwa umuhimu wa shughuli yenyewe inabidi wakabidhiwe kadi za cdm na wilfred lwakatare.
Wenzenu wa Ngorongoro walikusanya na kurudisha kadi za CCM. Serikali ya CCM ikasalimu amri ikawarudishia ardhi yao kutoka kwa mwekezaji.
Jaribuni labda na nyinyi mnaweza kufanikiwa maana hakuna kitu CCM inaogopa kama wanachama wake kurudisha kadi. Msisahau kuwaita BBC ili waonesho tukio hilo LIVE.
Kwa hiyo wale waliokamatwa wote ndo wametolewa kafara?haiaminiki,time will tell!
taratibu mkuu taarifa hii imekugusa sana?
Sana wasaliti wa taifa wanapotaka kujivua gamba inanipa moyo maana nauona mwanga mpya kwa Tanzania yenye amani.
kila mjinga ataadhibiwa kwa ujinga wake,mwenye macho haambiwi tazama.