Mtwara: Amuua mzee ili aibe kuku na sola

Umasikini mara nyingi ni chanzo cha maovu mengi.
Ninakumbuka Awamu ya kwanza Nyerere aliamua Watindiga ni lazima wasome. Walichukuliwa wale wanaoshika namba 1-10 darasani hata kama hawakufaulu darasa la saba walipelekwa shule za serikali. Mwisho wa mwezi walipewa kima cha chini cha mshahara kwani wengine walishaoa nyumbani. Lakini waliishia kupata ajira serikalini na wengine walifika chuo kikuu.
 
Watu Wa mtwara sijui wakoje kila walipo kunakuwa kuna matatizo,mfano mbagara
 
Back
Top Bottom