apewe maua yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Britanicca apewe maua yake, ni jana tu alitusogezea code na leo imeji-crack yenyewe

    britanicca much respect!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jamani japokuwa ana mapungufu, Mkwere apewe maua yake kwenye kutetea haki za watumishi

    Maofisa utumishi wengi hasa ngazi wilaya na halmashauri wananyanyasa watumishi. Wanaonea wivu na kuwanyanyasa kana kwamba ni watumishi wao wa ndani Watu wanabaniwa kupanda madaraja kwa chuki binafsi. Mimi binafsi nampongeza mkwere kwa namna anavyokemea haya maonevu.
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Na bado wanangangania goli aisee Simba nyie, Refa apewe maua yake kabisa

    😴 🥱
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakaa iwe na UDINI wala UKABILA. Katika hili, Mwl. Nyerere apewe maua yake.

    Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja". Kwanza dini zote zinamuabudu...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Apewe maua yake kama ni zawadi Tanzania tumepewa Maxence Melo, kwa upande wa platform ya Habari mtandao

    Nina muda sijaandika nikiwa nimetulia leo naandika, nimewaza sana nikatafakari sana kwa siku Tatu zaidi, angekuwa mtu asiye kuwa na msimamo angeshaweka Mpira kati, Watu aina ya Maxence Melo utafutwa ama wawe blackmailed au wahongwe au watishwe! Lakin njia zote tatu kaweza kuzikwepa na kuendelea...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?

    Wanabodi, Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la tatu, tunajua amesema ukweli nusu!, ndio maana bado yuko mguu mmoja ndani, akisema atabaki kuwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete apewe maua yake walau alikuwa anamwogopa Mungu, CDM kupata wabunge 75 kwa tume hii!

    Nimemsililiza mhe. Lema akitoa mfano wa jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi wanavyopatikana na waimamizi wanavyoteuliwa. Hakika Kikwete ni muislam. Japo ana mapungufu yake mengine lakini walau ana hofu ya Mungu.
  8. Lusungo

    JamiiForums Tanzania My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

    Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa! Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia! Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi...
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

    Ni moja ya hadithi mzuri sana kwa uapande wangu maana ndani ya hii hadithi kuna vichekesho lakini pia inaonyesja jinsi gani watu tunavyo ishi Kwanza inatuonyesha watu walio shindwa kufanikiwa hawana shukurani hasa ndugu ata umtende jema gani bado haoni anaona wewe kumsaidia ni haki yake Pili...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Lissu amechangamsha CHAMA, ni kama ilivyokuwa uchaguzi 2020, na hicho ndicho awezacho, apewe maua yake lakini sio kuwa kiongozi mkuu wa CHAMA

    Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi. Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni? Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

    Wanabodi Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!. Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi ambao ni wazalendo wa kweli wa Taifa hili, waliofanya vitendo vya kishujaa, bila kutaka kulipwa...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa Rais dikteta sana kwenye baadhi ya maamuzi, Samia apewe maua yake

    Hanang watu wamepata majanga serikali ya Samia imejenga nyumba na kuwakabidhi waathirika. What love is this? 💝💝 Magufuli angewaambia kwani Mimi ndio nimeleta majanga. Refer tetemeko la ardhi Kagera. Wamasai wa Ngorororo waliokubali kuhamishwa serikali iliwahamisha bure na kuwapa makazi ya...
  13. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nape Nnauye apewe maua yake kwa kuongea ukweli kuhusu mbinu Haramu za kushinda uchaguzi

    Nape Nnauye apewe maua yake kwa kuongea ukweli, kuhusu mbinu Haramu za kushinda uchaguzi. Leo watanzania tunajionea Mbinu Haramu zinazotumika kushinda uchaguzi. Pamoja na ubaya wake na mapungufu yake. Ila apongezwe kwa kuongea UKWELI. Pia soma Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mary Mwanjelwa: Rais Samia apewe maua yake, mikopo ya asilimia 10 ilitoka

    Aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mary Mwanjelwa amemwaga sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri. Mwanjelwa amesema hayo wakati wa mkutano wa kampeni...
Back
Top Bottom