Mtunzi na mwandishi wa hadithi

Mtunzi na mwandishi wa hadithi

Mysterio Hamic

New Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari wakuu

Mimi ni mwandishi na mtunzi mzuri sana wa hadithi na nishaandika hadithi nyingi tu katika mtandao wa Facebook kama vile "SIKU SABA ZA KARALINA" "MTUMWA WA MAUAJI" n.k ila kwa sasa nimeacha kidogo.

Na sababu ya kuacha nimeona kuwa nakitumia kipaji changu bila kupata faida yoyote kwani nilikua naandika bure tu kwa nia ya kuwaburudisha watu.
Sasa basi nmehangaika sehemu kadhaa ili nione kama ntapata kazi katika gazeti lolote au sehemu yoyote ila nmeshindwa ndio maana nmekuja hapa ili mnisaidie.

Kama kuna mtu anajua sehemu nitayoweza kupata kazi hii ya kuandika hadithi bac ntashukuru sana maana naona nakaa bure mtaani wakati kipaji ninacho tena kikubwa tu. kwa mawasiliano unaweza nicheki pia FB kwa jina hili hili au Whatsapp 0714499248 au hata kwa kunpigia kwa namba hiyo.

AHSANTENI!
 
Jamani hebu njoeni mumpatie msaada wadau...
najua hapa kuna watu wa magazeti,vitabu,majarida,movie za kibongo n.k n.k
Nyinyi wote nilio wataja mna uwezo wa kumsaidia ndugu yetu kwa kumpatia kazi au kimawazo,lakini pia hata watu wasio wale nilio wataja mnaweza kumshauri au kumsupport.
Nakutakia kila kheri mkuu na natumai utasaidiwa!
 
Back
Top Bottom