Mtunze mkeo Malaya hana shukrani

Mtunze mkeo Malaya hana shukrani

Ni kwa sababu michepuko hawana stress mkuu hawabebeshwi majukumu kama wanayo bebeshwa wake wa ndoa, halafu michepuko mingi ipo kwa ajili ya maslahi tu na si mapenzi kwahiyo huwa wanafanya hayo ili muwahonge vizuri, hongera kama kweli umeachana nayo jamii inahitaji wanaume wengine kama wewe
Kweli vile nimeacha


Ila kusema ya moyoni navutiwa sana na misimamo yako mimi ni mmoja ninaekufuatilia humu kama hutojali naomba nichepuke nawewe mara ya mwisho


Nipo serious
 
Tatizo lenu huwa mnahangaika kudili na matokeo badala ya kudili na mzizi wa tatizo kwanza, nafikiri ulitakiwa kujiuliza nini kilipekea hadi huo mkutano wa beijing ufanyike yani siku mkiwa tayari kuukubali ukweli na uhalisia, basi mtakuwa mmepiga hatua moja mbele kuelekea kwenye mabadiliko vinginevyo niwape pole tu
Ni upumbavu wa wanawake tu hakuna cha maana kilicholazimu ufanyike ule mkutano.
 
Mtu mwenyewe ushamuita malaya unategemea akupe nini kingine! !

Appreciate your women Bwana. If she's not your wife she's your sister. Don't defile our girls / women!

Men have a way of destroying the earth and society and acting completely unaware of who caused all the mess.
Ni wote tu wenye hiyo capability
 
ivi kwanini kwenye ku react emoji hawajaweka emoji😏😏niwe na dharau comment zako zote kenge wewe
Ndo kenge kakupenda sasa utafanyaje ..
Finya ukuta 😂😂😂🫵🫵🫵
 
Malaya ana imani zawadi pekee ambayo anaweza kukupa ni pampuchi tu.

Hana kingine anachotaka kwako Zaidi Ya pesa.

Mkeo ndio Ambae unajenga nae familia na maendeleo binafsi.

Mtunze mkeo jeuri yake ni matokeo ya ujinga wako....!

Nitatoa 10k kwa mtu Ambae atanitukana tusi jipya
Fact 💪💪
 
Una date na mwanamke anaeendelea kujitupa kwa wengine halafu unajisifu eti umepata

Ukishauriwa na wenzako unaanza kununa ukidhani wanakuonea wivu 😂

Bro malaya haonewi wivu,

Acha kujichoresha, piga low key, sepa
 
Back
Top Bottom