Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,794
- 58,425
Sqwa fazaTatizo umri
Zo
Sqwa fazaTatizo umri
Zo
Yaaan asijichanganyeKafiruulah
KafiruuYaaan asijichanganye
Umesema kweli. kwa nini utukanwe?Malaya ana imani zawadi pekee ambayo anaweza kukupa ni pampuchi tu.
Hana kingine anachotaka kwako Zaidi Ya pesa.
Mkeo ndio Ambae unajenga nae familia na maendeleo binafsi.
Mtunze mkeo jeuri yake ni matokeo ya ujinga wako....!
Nitatoa 10k kwa mtu Ambae atanitukana tusi jipya
Hahahaha😂😂😂😂 Mkuu utafika ila kunikuta hapana 😂😂😂😂
Nawe utaliwa Kiboga pia.Na wawatunze kweli mi sibague wala sichagui..
Nakula.mshangzi, Nakula single maza Nakula wote kikubwa kipumue tu
Na awe na tundu la kikeNa wawatunze kweli mi sibague wala sichagui..
Nakula.mshangzi, Nakula single maza Nakula wote kikubwa kipumue tu
Sio rahisi hvo.mkuuNawe utaliwa Kiboga pia.
Ahahahaha labda waniue kwanzaNa awe na tundu la kike
Ila michepuko ni kama imefungwa injini yani hata uisugue kila siku haichoki inamwaga mautam kama Ina laana ila mimi nishaachana nayoBora muambizane maana kuna wanaume ukiwakuta wanahudumia na kusifia michepuko yao utashangaa, na wakati huo huo mke anadharauliwa na anasemwa vibaya kila siku hadi unajiuliza alimuoa wa nini, halafu anatokea guluguja mmoja anakuambia heshima ya mwanamke ni kuolewa sasa unabaki kujiuliza ni ndoa hizi hizi au kuna nyingine..no wonder siku hizi wanawake wengi wako radhi wawe michepuko kuliko wake za watu maana wameshaona ukiwa mchepuko unafaidi kuliko ukiwa mke unaishia kubebeshwa mizigo tu!!
Bila shaka wewe ni wa ISIMIKINYINa vipi sisi tuliooa malaya unatushaurije?
Ndo wapi huko mkuu ISIMIKINYIBila shaka wewe ni wa ISIMIKINYI
Route za Mwendamseke igawilo, isimikinyi, ihowanza yani kiufupi wewe umeoa zoazoaNdo wapi huko mkuu ISIMIKINYI
Kwenye suala zima la kuyumba katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke matatizo yote yalianzia Beijing. Taja mwanaume hata mmoja aliehudhuria ule mkutanoSiyo kwamba wako unaware of who caused all the mess bali wanakimbilia kuwatupia lawama zote wanawake hata kwa matatizo ya kujitakia wao wenyewe, imagine mwanaume mzima anahonga mwenyewe pesa na mali zake kwa sababu ya kuendekeza ngono na starehe halafu anamlaumu mwanamke kana kwamba alishikiwa bunduki, wana msemo wao eti mwanaume hatakiwi kulaumiwa anayetakiwa kulaumiwa ni mwanamke kwa sababu yeye ndiye anayepata madhara sasa najiuliza hawa wanaume tunaowaona wanalalamika na kulialia kila siku kuhusu wanawake sijui ni wa sayari gani
We kufwa tuWalaah tena wewe navokuvizia akiamungu nikikupata walaahi ntahakikisha ........ Oky all in all njoo uniombee naumwa
Naumwa naomba niombeweWe kufwa tu
Ni kwa sababu michepuko hawana stress mkuu hawabebeshwi majukumu kama wanayo bebeshwa wake wa ndoa, halafu michepuko mingi ipo kwa ajili ya maslahi tu na si mapenzi kwahiyo huwa wanafanya hayo ili muwahonge vizuri, hongera kama kweli umeachana nayo jamii inahitaji wanaume wengine kama weweIla michepuko ni kama imefungwa injini yani hata uisugue kila siku haichoki inamwaga mautam kama Ina laana ila mimi nishaachana nayo
Tatizo lenu huwa mnahangaika kudili na matokeo badala ya kudili na mzizi wa tatizo kwanza, nafikiri ulitakiwa kujiuliza nini kilipekea hadi huo mkutano wa beijing ufanyike yani siku mkiwa tayari kuukubali ukweli na uhalisia, basi mtakuwa mmepiga hatua moja mbele kuelekea kwenye mabadiliko vinginevyo niwape pole tuKwenye suala zima la kuyumba katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke matatizo yote yalianzia Beijing. Taja mwanaume hata mmoja aliehudhuria ule mkutano