Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,469
Tushakemewa sana
Hebu msitufanye sisi watoto bana, hao wanaume wanaowaponda wake zao wengine ni kaka zetu na wengine ni marafiki zetu huwa wanatuambia na tunaona matendo yao, siku hizi michepuko ndio inafaidi kuliko wake wa ndoa ndio maana wanawake wengi wanaona bora kuwa michepuko kuliko kuenda kubebeshwa mizigo huko ndoaniUkiona mwanaume anamponda mkeo mbele yako wewe malaya wake jua anataka akutawanye mapaja akuache akahadithie wenzake kijiweni,amma kuhusu wanawake kuwa mchepuko inategemea wewe mwenyewe umejiweka kwenye angle gani!
Ukijitegesha style za kichepuko unakuwa mchepuko ukijitega style ya kuwa mke unakuwa mke so ni jinsi gani unavyojipa thamani utakuwa treated hivyo hivyo.
Shukrani sana kwa kutukumbusha,Malaya ana imani zawadi pekee ambayo anaweza kukupa ni pampuchi tu.
Hana kingine anachotaka kwako Zaidi Ya pesa.
Mkeo ndio Ambae unajenga nae familia na maendeleo binafsi.
Mtunze mkeo jeuri yake ni matokeo ya ujinga wako....!
Nitatoa 10k kwa mtu Ambae atanitukana tusi jipya
Kama kaka zako wanathubutu kukaa na wewe kukwambia madhaifu ya wake zao basi ninyi nyote mnafanana akili.Hebu msitufanye sisi watoto bana, hao wanaume wanaowaponda wake zao wengine ni kaka zetu na wengine ni marafiki zetu huwa wanatuambia na tunaona matendo yao, siku hizi michepuko ndio inafaidi kuliko wake wa ndoa ndio maana wanawake wengi wanaona bora kuwa michepuko kuliko kuenda kubebeshwa mizigo huko ndoani
Hivi unajua hata kusoma kwa ufahamu au unakurupuka tu kama nyumbu mradi na wewe uonekane umejibu, kwanza kitendo tu cha mwanaume kuchepuka tayari ni mpumbavu hana akili achilia mbali anasema nini kuhusu mke wake au mchepuko wake, wengine hatu entertain kutembea na waume za watu hakuna takataka inayoweza nishawishi niwe mchepuko wake hata ingekuwa na hela kiasi gani sina njaa wala hamu za kipumbavu kiasi hikoKama kaka zako wanathubutu kukaa na wewe kukwambia madhaifu ya wake zao basi ninyi nyote mnafanana akili.
Wewe umejiweka level ya mchepuko unafurahia kuelezwa madhaifu ya WiFi zako kutoka kwa kaka zako wajinga unadhani maisha ndivyo yalipaswa kuwa,mwanaume timamu hawezi kuinua kinywa chake kueleza udhaifu wa mke aliyemzalia watoto.
Na Wake wanaokimbia Waume zao, vipi?Bora muambizane maana kuna wanaume ukiwakuta wanahudumia na kusifia michepuko yao utashangaa, na wakati huo huo mke anadharauliwa na anasemwa vibaya kila siku hadi unajiuliza alimuoa wa nini, halafu anatokea guluguja mmoja anakuambia heshima ya mwanamke ni kuolewa sasa unabaki kujiuliza ni ndoa hizi hizi au kuna nyingine..no wonder siku hizi wanawake wengi wako radhi wawe michepuko kuliko wake za watu maana wameshaona ukiwa mchepuko unafaidi kuliko ukiwa mke unaishia kubebeshwa mizigo tu!!
Jadda mama punguza ukali wa maneno, hujafa hujaumbika kumbuka.Hivi unajua hata kusoma kwa ufahamu au unakurupuka tu kama nyumbu mradi na wewe uonekane umejibu, kwanza kitendo tu cha mwanaume kuchepuka tayari ni mpumbavu hana akili achilia mbali anasema nini kuhusu mke wake au mchepuko wake, wengine hatu entertain kutembea na waume za watu hakuna takataka inayoweza nishawishi niwe mchepuko wake hata ingekuwa na hela kiasi gani sina njaa wala hamu za kipumbavu kiasi hiko
Hahahhahaaha umeeleweka, Sema Malaya buana wako na vibe flaniNitatoa 10k kwa mtu Ambae atanitukana tusi jipya
Noma sana....ufundi mwingiHahahhahaaha umeeleweka, Sema Malaya buana wako na vibe flani
Mjinga wewe umenichekesha. Nikukamate sasa, nakumwagia weseeeeeeNa wawatunze kweli mi sibague wala sichagui..
Nakula.mshangzi, Nakula single maza Nakula wote kikubwa kipumue tu
M na usingo maza wangu hutanila ng'oooooooNa wawatunze kweli mi sibague wala sichagui..
Nakula.mshangzi, Nakula single maza Nakula wote kikubwa kipumue tu
Waniue kwanza ndo wafanye huo ujinga wao ...Na wewe mzee mwenzangu ikifika zamu yako kumang'uliwa kalio ngumi usizirushe kikubwa utaachwa na pumzi lakini rinda hata moja huna.
😂😂😂😂 Mkuu utafika ila kunikuta hapana 😂😂😂😂Mjinga wewe umenichekesha. Nikukamate sasa, nakumwagia weseeeeee
Walaah tena wewe navokuvizia akiamungu nikikupata walaahi ntahakikisha ........ Oky all in all njoo uniombee naumwaM na usingo maza wangu hutanila ng'ooooooo
ZoNa wawatunze kweli mi sibague wala sichagui..
Nakula.mshangzi, Nakula single maza Nakula wote kikubwa kipumue tu
Kwa urassa, Tuamoyo, Machava, kwa mama bonge 😂Dah mzee 😂
KafiruulahWalaah tena wewe navokuvizia akiamungu nikikupata walaahi ntahakikisha ........ Oky all in all njoo uniombee naumwa