LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 655
BOOK-KEEPING VS ACCOUNTING
Kiufupi Book keeper ni mtunza mahesabu na Accountant ni Muhasibu.
Book keeping na Accounting hufananishwa sana kutokana na vitu vifuatavyo:
1. Zote zinahusika na mambo ya kifedha
2. Lengo ni moja, kukuza upatikanaji wa fedha
3. Zote zinahitaji elimu ya misingi ya uhasibu
Pamoja na yote hayo, bado book keeping ni tofauti na accounting kutokana na vitu vifuatavyo:
1. SCOPE (Upeo)
Accountant yoyote anaweza kuwa book keeper, ila book keeper hawezi kuwa accountant.
Book keeping ni kutunza record zote za kifedha, ila Accounting inaanza pale booking inapoishia.
Accounting itachukua record na kuzitumia kutengeneza report, ambayo itasaidia kujua mwenendo wa biashara.
2. BUSINESS STAGE (Hatua gani ya biashara)
Book keeping ni nzuri hata kwa mtu binafsi kujipima ukuaji wako wa kifedha.
Kama biashara yako ni changa kabisa ni kheri uka download app ambazo zitakusaidia kufanya book keeping.
Kama umekua kiasi unaweza kuajiri mtu ni vyema akamuajiri book keeper na akihitaji msaada zaidi ndio atafute Accountant.
Kama biashara yako inauwezo wa kuajiri watu zaidi ya 30 basi ni vyema ukawa na Book keeper akisaidiana na Accountant.
3. REPORT
Kwenye book keeping ni lazima mtunza mahesabu arekodi kila shughuli za kifedha zinazofanyika kila siku.
Kwa Accountant, yeye huandaa repoti ambazo zitaonyesha shughuli za kifedha zilizofanyika mwaka mzima.
4. GUIDANCE (Muongozo)
Book keeping itasaidia kutoa mapendekezo madogo madogo kujua biashara inavyoenda.
Accounting itakusaidia kutoa mapendekezo makubwa jinsi biashara inavyoenda, na kipi kifanyike ili biashara ikuwe nk.
5. EDUCATION (Elimu)
Book keeper sio lazima awe na elimu ya juu sana, maana ni ku rekodi tu kwa usahihi, mwenendo wa biashara na shughuli zake za kila siku.
Accountant ni lazima asomee maana kuna kuandaa financial report ambazo atahitaji kuzitafsiri zina maanaisha nini na kutoa mapendekezo.
Kwa ukuaji wa Science na Technology, zinasababisha kuwe kuna urahisi wa ufanyaji kazi za kihasibu, ila urahisi wake unasababisha uhitaji wa wahasibu kuwa mchache na book keepers.
Kwahiyo kama unampango wa kuwa Muhasibu ni vyema ukawa unaji update kwa kusoma short course ambazo zinatumika katika uhasibu.
- Tallying ERP
- Xero
- SAP nk
Karibuni kutoa maoni.
#accountant #business #accounting #bookkeeping #technology #uhasibu