Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

hii serikali sasa inataka kujifanya mungu watu... yaan kusema kinyume na maumbile ni tusi..!
au kuna lililopo nyuma ya pazia..!
 
Mkuu usifananishe ya nyumbani na mwenendo wa Taifa. Home mtoto anaweza akachapwa kisa mtu mzima amejamba na inakubalika kabisa...
Don't you dare.
 
Hivi jamaa akisema maumbile ya nchi nikatiba. Sibasi kesi imeisha. Maana ni raisi kuonyesha vitu vinavyofanywa kinyume cha katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…