Mtungo...

hiyo safi sana aisee, ishu ni kwamba tu hiyo migomba ya kufungia hivyo tunaipata wapi?
 
Nilivyoiona hiyo heading nikajuwa umekosea jukwaa!
 
Humo ndani yake ni nini? senene au mwani?
 
Hiyo ni packaging ya kiasili ya kihaya na ziko za designs tofauti tofauti, mfano- Eibenga, Omutwalo, Ekitwa, Ekishoko,Ekitende, Eilegete,Eiboa nk.
Yaani ungeniona hapa jinsi nilivyokuwa nakufagilia ni kama Bungeni vile! Nilikuwa nasoma aina moja moja huku napiga laptop yangu hapa. Mfano Paah Papaaa... Papapapapapapa!
 
Jamani mbona unachapia? Huo ni mtwalo sio mtungo!!!!

Tiba
 
..... huo kama sio UGORO wa wamasai sijui. wamasai hawaangalii qulity ya contena, wao wananunua tu............ halafuu wazungu hawavuti UGORO! ndiomaana imeandaliwa hivo kibongo bongo
 
dah mate yashaanza kunitoka yaani...ahhhhhh!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…