Mtungirehi na Batinoluho wachanja mbunga Kyerwa

Mtungirehi na Batinoluho wachanja mbunga Kyerwa

Joined
Mar 28, 2015
Posts
45
Reaction score
15
Hizo ni baadhi tu ya picha za matukio kwa makamanda hao wakiwa jimboni Kyerwa jana
attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • kyerwa.jpg
    kyerwa.jpg
    60.3 KB · Views: 1,300
  • kyrwa.jpg
    kyrwa.jpg
    29 KB · Views: 301
  • kyrwaa.jpg
    kyrwaa.jpg
    36.2 KB · Views: 1,078
duuu aisee hivi hao ni kina nani chadema maana wanawatimulia vumbi ccm balaaa
 
hapa ndio utaona kuwa chadema ni taasis yenye hazna kubwa
 
wanajanvi niwakumbusheni kuwa Mtungirehi amejiunga CDM akitokea TLP na Batinoluho amejiunga CDM akitokea CCM ambako alikuwa mjumbe wa mkutano mkuu kuanzia 2012 hadi siku anavaa gwanda mwezi uliopita kama anavyoonekana ktk picha hapo juu aliye pembeni mwa Mtungirehi. Mtungirehi ni huyo mrefu mwenye koti na tai nyekundu
 
Ila mtungilei simkubali kabisa... tunamkumbuka kwa lipi 2000 hadi 2005?
 
Yaani mtia nia ndiyo anavuta watu wengi hivyo!! Mmmh ama kweli the so called "KOTE KOTE" makes sense.
 
Back
Top Bottom