hapana kaka, ila si wote ambao huwa wanakuwa wazi kusema hawezi kuendelea na wewe just bcoz una watoto! siwezi kuwakana, siwezi kuwagawa, its either unakubali au unakataa, ndio maana watu waliodivorce wengi anakuwa na mtu wa kumgonga na DILDO zinakuwa zinahusika kwa sana! coz at the end of the u cant expect a .com guy to marry u, just for leisure na kila mtu asepe! ila kwa nchi za wenzetu, naona kama ni tofauti mfano mzuri ni bruce jenner na kris kardashian, alimkuta na watoto wa4 na bado maisha yakaendelea!Nisamehe sana ndugu yangu kama nimekuwa harsh kiasi hicho,
Ila nimeongelea yale ambayo mie nisingependa kumfanyia mtu wala kufanyiwa.
Kuna kosa hapo?
Babu DC!!
Hiyo ni wish yako Yummy,
Ila nafsi ya mtu mwingine ni sawa na taifa huru...kama hana hizo guts itabaki hivyo hivyo!!
Kuna vitu ni vugumu sana jamani...ndiyo maana hata wanawake wengi hawawezi kuwaeleza waume zao kuwa hawaridhiki na tendo la ndoa....Kudeal na nafsi ya mtu mwingine ni jambo gumu sana. Na uamuzi wowote utakaouchukua ama utakuumiza wewe, yeye au nyote wawili (na wakati mwingine na watu wengine wasiohusika)!!
Babu DC!!
Babu DC, nakubaliana nawe , lakini si vibaya kuanza hatua mmoja- mbona Uganda wameanza TV show ya mtu kutanganza anayemtaka
mpe kitu aone mchezo wake?? anauliza samaki baharini, wakati ndio kwao!??Na wewe unaamini?
Babu DC, nakubaliana nawe , lakini si vibaya kuanza hatua mmoja- mbona Uganda wameanza TV show ya mtu kutanganza anayemtaka
Cacico,nina ushahi mzuri wa kusaporti ulichosema,baba yangu mkewe wa mwisho alimkuta ana watoto wa3,walioana na maisha yaliendelea,huyu mama yetu wa kufikia ndo amekua msaad sana kwetu tunapomhitaji!Jamani mwanamke akizaa bado ni mwanamke tu!
kwani cindy alikua anashida na mwanaume sihilo libaba tuu lilikua kinganganizi? Ndio kinachomstaajabishamwambie cindy hasihofu ni upepo tu utapita, atapata anayempenda,japo wanaume weng hawapendi wanawake wenye watoto, ukiongezea na kuachika huo ni upepo mkubwa.
yote kwa yote wanaume wengi tuna prefer a softer way ya kumaliza mambo.
Na kinachowaumiza jamaa akiingia mitini ni hicho...kwamba alijua akitoa tunda jamaa anajenga kibanda!
Na kwa wahaya ukioa mwenye mtoto hupewi ule mkuki......prove me wrong Bishanga.
Sasa kama jamaa ni mhaya aliona atakosa mkuki.....
(Na kwenye ma gym haka ka biashara kapo,mama akitaka mwenye six pack.......)
Ndo mana hujaolewa?