Mtumishi wa umma ashinda uchaguzi CCM

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,596
5,787
Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mvomero umeibua sintofahamu baada ya mtumishi wa Idara ya Elimu, Salvatory Richard kushinda uenyekiti.
Richard ameshinda nafasi hiyo kwa kupata kura 226 katika uchaguzi uliofanyika jana Jumamosi baada ya kumbwaga Dominick Elisha aliyepata kura 138.

Baada ya uchaguzi, Elisha amehoji uhalali wa Richard kugombea nafasi hiyo wakati akijua ana jukumu lingine la kuitumikia Serikali kupitia nafasi yake ya utumishi wa umma.

“Kwa nini watumishi wa umma wanajiingiza kwenye siasa, huku wakijua wazi kuwa wao wanapaswa kuitumikia Serikali kupitia ofisi zao na kama watumishi wanahitaji hizi nafasi za kisiasa basi waachie nafasi zao za utumishi,” alilalamika Elisha.

Richard alipotafutwa kuzungumzia suala hilo leo Jumapili, amesema atatoa ufafanuzi kesho kwa kuwa amechoka na pilika za uchaguzi na asingeweza kuzungumza lolote.

“Mwandishi naomba uniache nipumzike maana hivi (saa nne asubuhi) ndio narudi kutoka kwenye pilika za uchaguzi naomba tuonane kesho Jumatatu ofisini ili tuweze kuzungumza kwa kirefu,” amesema Richard.

Akizungumzia suala hilo, Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Wilayani Mvomero, Ally Castro amesema kila mwanachama wa CCM ana haki ya kugombea nafasi yoyote ndani ya chama hicho.

“Hata mimi nimesikia kuwa ni mtumishi wa Serikali ila sina uhakika lakini ninachofahamu mwanachama yeyote anayo haki ya ama kuchagua au kuchaguliwa katika kuongoza chama,” amesema.

Alipotakiwa kuzungumzia suala hilo, Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kulwa Milonge amesema ofisi yake haina taarifa kama kuna mtumishi aliyeshinda nafasi hiyo lakini kama ni mwanachama anaruhusiwa kugombea.

Milonge amesema hakuna kanuni ya chama hicho inayomzuia mtumishi kugombea kwa kuwa kila mwanachama anaruhusiwa kugombea lakini suala la utumishi ataamua mwenyewe na mwajiri wake.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mvomero, Florent Kyomo amethibitisha kuwa Richard ni mtumishi wa Idara ya Elimu katika halmashauri hiyo ambaye kwa sasa yupo masomoni.

"Ni kweli huyu ni mtumishi wa halmashauri yangu na kwa sasa yupo masomoni lakini bado sina uhakika kama ameshinda uchaguzi wa CCM, hebu niache nifuatilie kwanza," amesema Kyomo.

Chanzo: Mwananchi

Watumishi wa Umma wakihisiwa tu kuwa ni Wapinzani wanafukuzwa kazi.... Hawa wao hadi wanagombea vyeo ndani ya CCM.
 
Ataendelea na CCM na kuacha kazi ya serikali.. Hakuna shida, sbb serikali inaongozwa na chama tawala CCM..
 
Chanzo:
Mwananchi

Watumishi wa Umma wakihisiwa tu kuwa ni Wapinzani wanafukuzwa kazi.... Hawa wao hadi wanagombea vyeo ndani ya CCM.
Serikali yetu haipingi upinzani. Shida ni pale uchaguzi unapoisha bado wapinzani wanaendelea na siasa badala ya kufanya maendeleo. Hapo ndo tunapoamua kulala nao kwa virungu.
 
Ukiwa ccm unaweza kufanya chochote hata kuvunja sheria maana ktk kiapo cha utumishi wa uma haruhusiwi kujihusisha na siasa ccm wako juu ya sheria
 
Serikali yetu haipingi upinzani. Shida ni pale uchaguzi unapoisha bado wapinzani wanaendelea na siasa badala ya kufanya maendeleo. Hapo ndo tunapoamua kulala nao kwa virungu.
Kwa hiyo ni haki ya wana ccm tuu . . , kufanya Kazi Serikalini huku wakiwa wanachama wa ccm . . ?

Ni haki ya wana ccm tuu , kuwa viongozi wa ngazi za juu ktk Serikali . . ?!

Kwa hiyo, ni haki ya wana ccm tuu, kufanya siasa wakati wote, mahali popote nchini, hata wakiwa ma Jaji, Polisi, TISS . . ?!
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa ni Mwl wa Serikali..... Mwaka juzi akaenda Jimbo la mikumi akachukua fomu ya kugombea Ubunge kupitia Chadema... Bahati mbaya akakosa.

Huku Wilayani siri zikafika.... Ile anarudi anakutana na barua ya kufukuzwa Kazi
 
Huyo aliyeshinda anaomba mwandishi wa habari wakutane kesho ofisini ili waongee kwa kina, ni ofisi ipi anayosema hapo. Ni hiyo ya Elimu-Mvomero ambapo mkurugenzi anasema aliyeshinda yuko masomoni au anamaanisha wakutane ofisi ya CCM na kwamba kesho atakuwa ameishakabidhiwa ofisi rasmi, na hivyo kuwa huru kufanya mahojiano na mwandishi ofisini kwake?
 
1. Wafanye wao viazi (ccm), wakifanya wapinzani (mihogo) wanaambiwa wana mizizi.
2. Kunya wanye kuku (ccm), wakinya bata (wapinzani) wameharisha
 
Hivi hivyo cheo vina maana gani? Kuna Jamaa ameshinda na sio mzazi na ni bwana mdogo tu.
 
Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mvomero umeibua sintofahamu baada ya mtumishi wa Idara ya Elimu, Salvatory Richard kushinda uenyekiti.
Richard ameshinda nafasi hiyo kwa kupata kura 226 katika uchaguzi uliofanyika jana Jumamosi baada ya kumbwaga Dominick Elisha aliyepata kura 138.

Baada ya uchaguzi, Elisha amehoji uhalali wa Richard kugombea nafasi hiyo wakati akijua ana jukumu lingine la kuitumikia Serikali kupitia nafasi yake ya utumishi wa umma.

“Kwa nini watumishi wa umma wanajiingiza kwenye siasa, huku wakijua wazi kuwa wao wanapaswa kuitumikia Serikali kupitia ofisi zao na kama watumishi wanahitaji hizi nafasi za kisiasa basi waachie nafasi zao za utumishi,” alilalamika Elisha.

Richard alipotafutwa kuzungumzia suala hilo leo Jumapili, amesema atatoa ufafanuzi kesho kwa kuwa amechoka na pilika za uchaguzi na asingeweza kuzungumza lolote.

“Mwandishi naomba uniache nipumzike maana hivi (saa nne asubuhi) ndio narudi kutoka kwenye pilika za uchaguzi naomba tuonane kesho Jumatatu ofisini ili tuweze kuzungumza kwa kirefu,” amesema Richard.

Akizungumzia suala hilo, Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Wilayani Mvomero, Ally Castro amesema kila mwanachama wa CCM ana haki ya kugombea nafasi yoyote ndani ya chama hicho.

“Hata mimi nimesikia kuwa ni mtumishi wa Serikali ila sina uhakika lakini ninachofahamu mwanachama yeyote anayo haki ya ama kuchagua au kuchaguliwa katika kuongoza chama,” amesema.

Alipotakiwa kuzungumzia suala hilo, Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kulwa Milonge amesema ofisi yake haina taarifa kama kuna mtumishi aliyeshinda nafasi hiyo lakini kama ni mwanachama anaruhusiwa kugombea.

Milonge amesema hakuna kanuni ya chama hicho inayomzuia mtumishi kugombea kwa kuwa kila mwanachama anaruhusiwa kugombea lakini suala la utumishi ataamua mwenyewe na mwajiri wake.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mvomero, Florent Kyomo amethibitisha kuwa Richard ni mtumishi wa Idara ya Elimu katika halmashauri hiyo ambaye kwa sasa yupo masomoni.

"Ni kweli huyu ni mtumishi wa halmashauri yangu na kwa sasa yupo masomoni lakini bado sina uhakika kama ameshinda uchaguzi wa CCM, hebu niache nifuatilie kwanza," amesema Kyomo.

Chanzo: Mwananchi

Watumishi wa Umma wakihisiwa tu kuwa ni Wapinzani wanafukuzwa kazi.... Hawa wao hadi wanagombea vyeo ndani ya CCM.

Uandishi mwingine bwana taabu tupu....

Sasa si uwe specific tu kusema ni nani na kazi yake nini...

Huyo mtumishi wa umma ama wa idara ya elimu kwa kazi na majukumu yapi hasa....

Mwalimu? Afisa Elimu wa wilaya? Mkaguzi wa elimu?? Afisa elimu sayansi kimu? Au mhudumu wa ofisi ya elimu?

I exactly failed to get you....

Nadhani ungemaliza kabisa kwa kuwa specific na habari yako ingekuwa perfect...
 
Kwa hiyo ni haki ya wana ccm tuu . . , kufanya Kazi Serikalini huku wakiwa wanachama wa ccm . . ?

Ni haki ya wana ccm tuu , kuwa viongozi wa ngazi za juu ktk Serikali . . ?!

Kwa hiyo, ni haki ya wana ccm tuu, kufanya siasa wakati wote, mahali popote nchini, hata wakiwa ma Jaji, Polisi, TISS . . ?!
Kuna mijitu mingine kureply to their BS ni ku waste your energy. Leave them with their stupidity
 
Ualimu atafanya na siasa atafanya,ole wake sijui dedi amwambie chagua kimoja,atauacha udedi na atadedi kikazi na mshikaji atapeta tu,
hutaki unaacha.
 
Back
Top Bottom