Mtumishi wa umma ashinda uchaguzi CCM

Kwani wewe hujui ni kwanini CCM wanajiita Chama Dola?
They get to do whatever they want and nobody can ever do it anything about it!
Huyo teacher ni mtu mdogo mno,laiti kama zile kadi ya uanachama wa c.c.m zingekuwa zinazungumza wakati ziko mifukoni mwa wanachama nadhani mleta mada ungeanguka kwa presha!
Hiki Chama kina mizizi mirefu kama ya mbuyu!
We ushangai uchaguzi wa c.c.m ila PCCB wapo,TISS wapo uchaguzini kumonitor kila kitu?
 
Kuni mbichi vs Kuni kavu. Kwa taarifa tu, mtumishi wa umma hatakiwi kugombea nafasi za kisiasa. Ni ruksa kuteuliwa lakini sio kugombea, ukigombea unapaswa kuacha utumishi wa umma.
 
Ukiwa ccm unaweza kufanya chochote hata kuvunja sheria maana ktk kiapo cha utumishi wa uma haruhusiwi kujihusisha na siasa ccm wako juu ya sheria
Tena wako juu ya sheria kweli kweli...anakutana anavyotaka na vyombo vya dola havimchukulii hatua yoyote
 
Kwa hiyo ni haki ya wana ccm tuu . . , kufanya Kazi Serikalini huku wakiwa wanachama wa ccm . . ?

Ni haki ya wana ccm tuu , kuwa viongozi wa ngazi za juu ktk Serikali . . ?!

Kwa hiyo, ni haki ya wana ccm tuu, kufanya siasa wakati wote, mahali popote nchini, hata wakiwa ma Jaji, Polisi, TISS . . ?!
Wapinzani Tanzania tunaonekana kama wahaini
 
Back
Top Bottom