Mtumishi wa Mungu Gwajima yuko wapi siku hizi?

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,753
Huyu mtumishi yuko wapi siku hizi? Amekuwa kimya mno kuliko kawaida yake, nini kimemfika?

Vipi kuhusu ile ndege yake ilishatua bongo?

Nadhani si kwangu wengi wamemmisi Mzee wa kuliamsha dude,

Napenda staili yake, Mungu ampe afya njema Aliko,
 
Bado yuko kwenye mfungo wa kugombea manyigu kwa ki-Nyakyusa.
 
Aliambiwa achague moja kuchunga kondoo wa Bwana au mipasho siasa uzushi akashindwa kuchagua wakamwambia kwa taarifa yako pale unapopigia pesa za kutosha uko ndani ya ROAD RESERVE ikabidi akae kimya siku zote huwezi kushindana na wengi
 
Hivi ni kweli kaambiwa hivyo? Kweli siku hizi yupo kimya sana. Na labda kaambiwa wakivunja pale kiwanja kingine atapatiwa kilwa kivinje ama Pemba
 
Huyu mtumishi yuko wapi siku hizi? Amekuwa kimya mno kuliko kawaida yake, nini kimemfika?

Vipi kuhusu ile ndege yake ilishatua bongo?

Nadhani si kwangu wengi wamemmisi Mzee wa kuliamsha dude,

Napenda staili yake, Mungu ampe afya njema Aliko,
Gwajima itakuwa wamelinyumbua jina lake na kuwa "WAMEMGWAJIMA"
 
Back
Top Bottom