Mtumishi wa Mungu Gwajima yuko wapi siku hizi?

Hua nacheka sana. Vijana mitandaoni walikua hawaambikiki wanaposikia gwajima anaongea hasa nduguzangu nyumbu. Walikua wanajazana jumapili kusikia mchungaji atasema nn juu ya serikali na bashite. Jamaa kakussnya sadaka za kutosha amekaa kimia. Kweli wajinga ndo waliwao.
 
Hiyo sadaka ndo ujira wake

Wewe inakuuma nn mkuu
 
Njia ya muongo ni fupi. Anaona aibu alisema analeta ndege, Gwajima ni zaidi ya Dr shika. Tusubiri ndege na treni
 
Gwajima anacheza na akili za wajinga tu kama Mange anavyofanya.

Amekutana na wanaume akili uimenyooka sasa aongeze tena kama zamani aone moto wake.
 
Huyu mtumishi yuko wapi siku hizi? Amekuwa kimya mno kuliko kawaida yake, nini kimemfika?

Vipi kuhusu ile ndege yake ilishatua bongo?

Nadhani si kwangu wengi wamemmisi Mzee wa kuliamsha dude,

Napenda staili yake, Mungu ampe afya njema Aliko,
Kamuulize Dkt. Luis Shika
 
GWAJIMA ALISHASEMA HALIAMSH DUDE BILA KUCHOKOZWA.

ILA KUCHOKOZWA KWAKE KUMEWAUMBUA WATU KUWA HAWANA VYETI
 
Huyu mtumishi yuko wapi siku hizi? Amekuwa kimya mno kuliko kawaida yake, nini kimemfika?

Vipi kuhusu ile ndege yake ilishatua bongo?

Nadhani si kwangu wengi wamemmisi Mzee wa kuliamsha dude,

Napenda staili yake, Mungu ampe afya njema Aliko,
Mchokoze uone
 
Back
Top Bottom