Mtumishi wa BWANA: Setfree umepotelea wapi? nimekumiss!

mimi sijui mnawekaje ,kama una tupicha au kaklipu tupia hapa nione kama nitaweza kukuiga kiongozi
Mambo ya mwiko waachie wenyewe! kwa sasa ubaya ni ubwela namuulizia Setfree umemuona.
mara ya mwisho alionekana kavaa gauni la bluu, viatu vya visigino, mkoba, na alikuwa kashika biblia umemuona wapi mkuu?
 
Itakuwa alisafiri kwenda Mbeya kwenye semina ya uamsho nadhani ,maana hayo mavazi ndo huwa anapendelea sana kama kuna issue za semina,makongamano n.k
 
hahah basi sawa ukikutana nae mwambie Nomadix na wanajukwaa tumemkumbuka, asisahau kutuletea mafuta ya uamsho na upako wa mitetemo!
 
Back
Top Bottom