Mtumishi wa BWANA: Setfree umepotelea wapi? nimekumiss!

Mtumishi wa BWANA: Setfree umepotelea wapi? nimekumiss!

Salamu wanajukwaa.

Popote ulipo Setfree unaombwa kurudi jukwaani ushushe elimu ya kiimani.

Uwepo wako ndio mafanikio ya injili hapa JamiiAfrica.
Wewe na mama mchungaji Donatila elimu yenu ni mwanga na baraka hapa jukwaani.

Heshima mbele,
Nawasilisha.
alikuja kwa kasi sana, sijui kapotelea wapi
 
Back
Top Bottom