ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,579
- 44,822
Sipo kwenye category ya elimu na afya Niko kwingine kabisaYaani kumaliza Application tu hapo hata deadline haijaisha tayari umeshajenga matumaini, kwamba ushapata kazi ?
We ni mshamba nn jadili mada iliyopo mezani acha kuleta hizo pigo zilipendwaHivi Posho za lumumba buku 7 siku kwani hamna?
Huko uliko unaamini umeshapata tayari baada ya kuomba?Sipo kwenye category ya elimu na afya Niko kwingine kabisa
😂😂😂hapa kazi tuWe ni mshamba nn jadili mada iliyopo mezani acha kuleta hizo pigo zilipendwa
Ok. Labda nikudokeze kidogo niliomba nafasi za kujitolea chini ya ruwasa tokea March na ilikuwa za kuchagua mikoa mitatu kwa miezi sita na waziri aweso kila Mara anakumbusha kwamba miradi tupewe tuijenge hela zipo ila mpk Sasa kimya hawajatupigia simu ndo maana nikajisemea labda mpk tarehe moja July Sasa ndo nauliza je kwa mtumishi kikawaida anatakiwa apewe week ngapi kablaHuko uliko unaamini umeshapata tayari baada ya kuomba?
hapa kazi tu
Magufuli katengeneza ajira kedekede na alikuwa anaajiri sana ila nashangaa wewe mpaka leo hukupata ajira enzi zake😅😅Hili life bro ila POA nicheke furahia Sana ila omba yasikukute.btw soon as possible tutakula shavu naamini Magufuli alishatengeneza mifumo ya kazi nyingi kuwepo
Shukrani Sana mkuu kwa hiyo nihakikishe kuanzia week ijayo a kuendelea simu ipatikane 24 hours...Week 2.
Yaani ukiitwa kazini, unaenda kuriport hafu unaomba likizo ya week 2.
RUWASA intern wameshaanza kuita, wanaitwa kwa direct communication sio kwa kutoa majina. Ila wameanza ile mikoa ambayo kuna miradi ya Maji inaendelea.
Alitumia namba ya mkononi au ya landline?Shukrani Sana mkuu kwa hiyo nihakikishe kuanzia week ijayo a kuendelea simu ipatikane 24 hours...
Ila pia kwa zile nafasi za veta niliombaga plumbing ili niongeze ujuzi kdg jana kanipigia simu Akauliza tu ninafanya shughuli gani kwa Sasa nikamjibu biashara ndogo ndogo za kutembeza akaniuliza je huko mtaani una vijana wenzako ambao Ni mafundi nikamjibu ndio akasema je Kama wakija Huku mtaani nitaweza kuwaoshesha hao mafundi
Hakunambia kingine akakata Sasa sijui ndo maswali yenyewe ya usaili wameamua kwa njia hiyo
Embu kaa kwa password kaa kwa kutulia watu tulishaharibikiwa maisha kitaa af na wewe unakuja kunichanganya hapa..wewe hapo ulipo una nafasi gani Una kazi ganiMagufuli katengeneza ajira kedekede na alikuwa anaajiri sana ila nashangaa wewe mpaka leo hukupata ajira enzi zake
Alitumia ya mkononi ya Voda kabisa.sidhani Kama wanaweza kuwafuatilia watu wote hao Zaidi ya 2000 tuliomba kwenye mkoa wangu Labda Kama wanatupigia ambao tume qualify pekeeAlitumia namba ya mkononi au ya landline?
Maana kwa zile nafasi lazima kuna watu watapigwa sana hela wataambiwa watume hela.
Kuhusu kuwaonesha, si unatafuta vijana kadhaa tu mbona wamejazana.
Hivi hiyo likizo inaombwa kwa mwajiri au mkuu wako wa kituo cha kazi.!?Week 2.
Yaani ukiitwa kazini, unaenda kuriport hafu unaomba likizo ya week 2.
RUWASA intern wameshaanza kuita, wanaitwa kwa direct communication sio kwa kutoa majina. Ila wameanza ile mikoa ambayo kuna miradi ya Maji inaendelea.
Bado jombaa ndo tunasikilizia hapa tunajipigia pigia promo huenda wahusika wakasoma hi thread wakajiongeza wajue kbs watu tumechafukwa kitaa sio poaMshkaji wangu ushatoboa? Hongera nigga
Sasa wewe unaenda kujitolea au kuajiriwa? Umesema tena ni miezi 6 tu sasa haya ya utumishi yanaingia vipi hapo?Ok. Labda nikudokeze kidogo niliomba nafasi za kujitolea chini ya ruwasa tokea March na ilikuwa za kuchagua mikoa mitatu kwa miezi sita na waziri aweso kila Mara anakumbusha kwamba miradi tupewe tuijenge hela zipo ila mpk Sasa kimya hawajatupigia simu ndo maana nikajisemea labda mpk tarehe moja July Sasa ndo nauliza je kwa mtumishi kikawaida anatakiwa apewe week ngapi kabla
Mkuu wako pale ulipopangiwa.Hivi hiyo likizo inaombwa kwa mwajiri au mkuu wako wa kituo cha kazi.!?
Nashukuru kwa ufafanuzi!Mkuu wako pale ulipopangiwa.