ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,531
- 44,633
Ninavyojua Mimi Ni kwamba majina yanatakiwa yatoke kabla ya week sita au nane ili muajiriwa akajiandae kabla hajareport kituo chake Cha kazi.
Sasa kama inavyosemekana kuwa ajira mikataba mipya itaanza Mosi Julai na leo zimebaki week tano tu kufikia tarehe moja mwezi wa saba ili mwaka mpya wa fedha uanze.
Hivi kweli kuna dalili za ajira wakuu au tuendelee kuumiza matumbo kwa kusubiri mpaka September au December kabisa.