"Mtumishi hewa namba Moja"

Kila nikuliza faida za mtumishi huyu...watu wanabaki kujing'ata ulimi tu...
 
tusisubiri kunyimwa msaada ndio tumtumbue huyu. badala ya kutembea na moto nchi nzima tutembee na annual national heros wakiwemo, Umefanya kazi kubwa lakini kwa sasa sioni nafasi yake. wakidesign vizuri hii kitu italeta motisha

best students form four,six and universities - hapa tutahamasisha elimu.
best start ups wamwaka - itaamasisha maendeleo.
best nurses/medical practitioner wa mwaka
best business owner
best local innovators
best artist
mkulima bora kijana. jinsi walivyofanikiwa kustimulate development and competitions
tunatakiwa kubalili mindest ya taifa zima
 
Umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini pale ambapo hakuna matumaini, upendo, mahali ambapo kuna chuki............n.k! Lengo lilikuwa kuuweka pale kileleni mwa mlima kilimanjaro! Ila Kilelen haupo tunazunguka nao mwaka mzima. Lengo lilikuwa kumulika kwenye rushwa, chuki, nadhan Mh Mwenge umeshindwa kwani Chuki kila kona, Rushwa nadhani Magu shahidi. Sasa Mh Mwenge si ukapumzike tu??
 
Hebu tuachane na stress za MCC tuangalie huyu mtumishi hewa namba moja tunamfanyaje
 

Attachments

  • 1459545802752.jpg
    69.8 KB · Views: 30
hv hz picha kutoonekana ni tatzo la jf au jf application?!
 
Kwasababu serikali john makufuli imenyimwa msaada huo mkoloboi ilitakiwa uwe kwanza kuufuta.
Unamaliza pesa nyingi sana kuuzungusha nchi nzima sio masihara.
 
Mkuu 'Mwenge' ndiyo symbol inayomwakilisha 'Rais' kama vile ile inayomwakilisha 'Malkia Elizabeth' wa Uingereza
Kuna alama bora ya utaifa na rais kama sherehe za uhuru!!? Sasa kama sherehe za uhuru za 2015 zilifutwa kwa nini hili li mwenge limshinde kulipeka pale makumbusho ya taifa tu. Naunga mkono hoja, hili ni litumishi hewa namba moja
 
Hilo nalo ni jipu Magu tunasubiri ulitumbue na hilo
 
Mwenge wa ccm kwa gharama za walipa kodi. Utolewe kwenye katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…