Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,430
- 8,378
Dunia hii ina vituko jamani!!. Ebu tazameni video hii ya mtumishi mmoja huko kwa Marehemu Mzee Madiba akimwombea huyu mama kwa kumrukia juu!!
Last edited by a moderator:
Kuna bidada aliombewa kwa kugegedwa ili apate mtoto
Bila shaka mkuu alimega.Bila ya shaka alimpata
Hawa watu wanakuwa kama vile wamelishwa unga wa Ndere wa Bi Kirembwe. Jamani huu ni upofu.
GiningiHa ha haaaa. We bi kirembwe umemjua wapi?