Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Apostle Dunstan Maboya ni moja kati ya watumishi wa mungu wa miaka mingi sana na wenye Upako.
Nimeanza kumsikia Mtume Maboya toka mwaka 1989 na ameendelea kuitanua huduma yake kila pembe ya nchi hii na nje ya nchi.
Lakini nimekuwa nikijiuliza kwanini Mtume Maboya hajitangazi kwenye Tv kama mzee wa Upako na watumishi wengine? ambao siku hizi wame fanya ni fasheni kujipa promo kwenye Tv?
Je anapatikana wapi mtumishi huyu wa mungu kwa sasa?