Mtukufu raisi angejibiwa hivi ?

Mtukufu raisi angejibiwa hivi ?

Huyo aliyemjibu ni mkamba nn??
atakuwa mjaluo aisee. hawapikiki chungu kimoja. wakianza kubishana hao mjaluo yupo radhi aisapoti hata tz against kenya kwasababu tu anaone kenya imekaliwa na mkikuyu.

kipindi kile wajaluo wanang'oa reli, m7 aliwa devide na kuwa rule kwa kauli moja tu..."the Jaluo are uprooting the railway....". badala ya wakenya wanang'oa reli.
 
Hahahahahahahahaha "eti wajaluo are uprooting railway" badala ya wakenya hahahahah umeniacha hoi sn mkuu
 
Hapo pplisi wetu wrote wangeamrishwa kumsaka mpaka uvunguni mwa kitanda
 
Back
Top Bottom