Mtuhumiwa wa mauaji ya Tarime

Mtuhumiwa wa mauaji ya Tarime

jamaa ana sura ngumu mithili ya mpiganaji nguli na kamanda wa LRA jenerali joseph Kony.
huku kanda ya ziwa kuna mambo sana, juzi juzi hapa ameuawa mamba mwenye umri wa zaidi ya miaka 100, mwenye uzito wa kilo 500, urefu wa mita 4, ambaye ameua na kuwala watu zaidi ya 40, wengine akiwanyakua toka kwenye mitumbwi yao, mamba huyo akabatizwa jina la "mamba mla watu"
 
huyu alikuwa amerukwa na akili si bure.......sasa ataenda kuwajibu hao saba aliowaua huko kuzimu lazima wamue tena
 
kweli.pengine wamefahamu chanzo cha hasira yake,na kama kuna watu wa aina yake wenye lengo hilo hilo
hiyo itakua rahisi kuzuia mauaji ya aina hiyo yasitokee tena..vinginevyo,tutasikia mengi tu
nafikiri hilo ndilo jambo la msingi,kwamba kwa nini alikua anaua hovyo?ni mzima kweli?ana hasira na nani?wapo wangapi wenye dukuduku na mtazamo kama wa kwake?tunaweza kushangilia kwamba tatizo limeondoka,kumbe wenye mtazamo kama wake wapo wengi!kama amekufa kwa pumu well and good(ila naamini hawakumpeleka hosp kwa matibabu)kama wamemrestisha ilikua ni mapema sana.

:flypig:
 
Back
Top Bottom