Hii ni picha inayomuonyesha mtuhumiwa wa mauaji huko Tarime.. Picha hii ilichukuliwa wakati tayari yuko chini ya ulinzi.. Baadae alitangazwa amekufa kwenye mahojiano na Polisi..
asante kwakutuletea picha ya mtu ailyejifanya mungu mtu, kutoa roho za watu 7 kwa siku mbili, alikuwa mtu hatari sana afadhali alivyokufa maana uwepo wake ungeendeleza maumivu kwa wahanga. sura mbayaaaaaaaaaaaaaaaa kama shetani
Ha haha.. Mkuu unafikiria ni kwanini ameristishwa ini pisi..? Alikula kichapo cha fisi pori..

Mkuu usiwaamini sana Jeshi letu la Polisi, hawachelewi kumbambikizia mtu mwingine ili mradi waonekane wamefanya kazi!! Na polisi wetu hawajui kuhoji wao ni kupiga tu!
asante kwakutuletea picha ya mtu ailyejifanya mungu mtu, kutoa roho za watu 7 kwa siku mbili, alikuwa mtu hatari sana afadhali alivyokufa maana uwepo wake ungeendeleza maumivu kwa wahanga. sura mbayaaaaaaaaaaaaaaaa kama shetani
Mbuzi wa kafara,Mungu ndie mjuzi wa kila lililojificha inawezekana kwa asilimia mia ikawa hausiki kabisa.Mungu baba muwekeke mahali anapostahili ameen