Mtuhumiwa wa mauaji ya Shinzo Abe (aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan) alitengeneza silaha kadhaa za kienyeji nyumbani kwake

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Capture.JPG

Mtuhumiwa wa mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amedai kuwa silaha aliyotumia aliitengeneza nyumbani na alitengeneza nyingine kadhaa za aina hiyo.

Polisi wa Nara Nishi wamesema mtuhumiwa Tetsuya Yamagami, 41, amekiri kufanya shambulizi hilo kwa sababu binafsi alitumia silaha hiyo yenye urefu wa sentimita 40 na upana sentimita 20 wakati Abe alipokuwa kwenye kampeni.

Baada ya ukaguzi imegundulika kuwa alikuwa na silaha za aina hiyo nyumbani kwake, japo haijawekwa wazi alijuaje kiongozi huyo atafika eneo la tukio kwa kuwa taarifa za kuhutubia kwake zilijulikana muda mfupi kabla ya tukio.





Source: Citizen Digital

==============

Man Suspected Of Killing Shinzo Abe Made Multiple Types Of Guns With Iron Pipes

The suspect in the assassination of former Japanese Prime Minister Shinzo Abe said the weapon he used was homemade, Nara Nishi police told a news conference on Friday.

Tetsuya Yamagami, 41, admitted to shooting Abe, police said. Yamagami, who is unemployed, told investigators he holds hatred toward a certain group that he thought Abe was linked to. Police have not named the group.

The weapon was a gun-like item that measured 40 centimeters (about 16 inches) long and 20 centimeters wide, police said.

Yamagami made multiple types of guns with iron pipes that were wrapped in adhesive tape, Japan's public broadcaster NHK reported, citing the police. The police found guns with three, five, and six iron pipes as barrels.

The suspect inserted bullets in the pipe, which he had bought parts for online, police said, according to NHK. Police believe the suspect used the strongest weapon he made in the assassination, NHK added.

Abe was fatally shot while making a campaign speech in the streets of Nara prefecture on Friday morning. His death has shocked Japan, a nation with one of the lowest rates of gun crime in the world.
 
Back
Top Bottom