Mtu yeyote asisome.

ckia hii;
Wendazimu 10
waliamua kufungua shule chini ya
mti.
Wakaokota vitabu wakajifanya
wanasoma. Kesho yake, walimkuta 1
wao amepanda juu ya mti.
Kumuuliza
mbona uko juu?
Alijibu,
"Mie niko high
school"
 
ckia hii;
Wendazimu 10
waliamua kufungua shule chini ya
mti.
Wakaokota vitabu wakajifanya
wanasoma. Kesho yake, walimkuta 1
wao amepanda juu ya mti.
Kumuuliza
mbona uko juu?
Alijibu,
"Mie niko high
school"

Dah! Kwa heri.
 
Back
Top Bottom