Mtu yeyote anayefahamu kuhusu stock market za international msaada please

mk4

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
285
328
Za asubuhi,

Nimekuwa nafwatilia sana mambo ya stock market za nje izi week mbili na kuna kama share nyingi sana zipo chini sana kwa sasa.

Nimepata knowledge kidogo jinsi ya kuinvest in stock market ya international nikiwa bado naishi hapa bongo

Natafuta mtu aliyeweza kuinvest kwenye stock market Marekani kwenye makapuni makubwa najua wapo watu wanashare kwenye makampuni makubwa na wako hapa bongo kama kuna mtu wa ivyo naomba msaada kuna sehemu nimekwama kidogo kwenye ili please nicheki na kunipa msaada na kunijibu maswali machache nayonikwamisha.

Mimi nimetumia broker. Interactivebrokers IBKR
Asante
 
Mm nataka kujua kuhusu stock market na siyo forex currency
Nataka kununua share kwny makampuni makubwa kama vile facebook,tesla, cocacola, amazon nasiyo forex currency

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin si unataka kununua online mkuu?Tumia online brokers ufanye swing trading ila Kama upo Us nenda uko kwenye makao yao NYSE .Makampuni yote uliyotaja unaweza kununua share online yapo ndani ya index ya NASDAQ Kama sjakosea.
 
Ndio nataka kununua hisa bt nataka kupata mbongo mwenye experience kwenye kununua online.

Broker mzuri wanamsifia anafanya kazi mpaka bongo ni interactivebroker
Nachotaka mm kupata mtu hapa bongo mwenye experience kwny ili coz step zote naweza lakin unaweka ela unaweza kosea kitu kidogo ela yako ikapotea
 
Kuna kampuni inaitwa wahed invest wao wana handle buying of the stocks and everything based on islamic sharia....kuwajua vzr na ni rahisi mm binafsi nime invest kwny stock market kupitia wao https://wahedinvest.com/
 
Mimi nataka kujua kuhusu stock market na siyo forex currency
Nataka kununua share kwny makampuni makubwa kama vile facebook,tesla, cocacola, amazon nasiyo forex currency

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona rahisi bro, unanunua online then una swing (unaacha kwa muda) mzigo ukiiva una sell ...ila changamoto kama una mtaji kijiko
 
Back
Top Bottom