mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,628
- 10,311
Mkuu niliyeleta mada ni female not male
Mbona ID haiendani na female
Mkuu niliyeleta mada ni female not male
illuminata.. Natamani kuwa Illuminat wako!!
Teh teh teh teh,why?
Basi kashakuona unafanana na usaliti..akikuuliza tena mwambie hata wewe hujui.[okay
hata kama una miaka kumi na tisa haikufanyi usiwe na akili
N vema kuheshima mawazo ya m2 u didn't know..
Umemaanisha nn?
Morning jf,
Let say upo kwenye relation but daily huyo mpenzi wako uliyenae daily ukiwa nae au mkiwa mko chatting anakuuliza unanipenda kweli hutonisaliti pia hutoniacha.
Hivi huyo mpenzi anakua ana maanisha nini hasa kwa maswali hayo ambayo daily anakua anayarudiarudia!
Huu uzi unarefuka haraka[yeah
Hajiamini huyo, na mwanaume asipojiamini ni hatari sana kwa mwanamke#
Kha!!!!!!!!Mkuu niliyeleta mada ni female not male