Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,266
Yeye anakupenda sana, ila haamini kama na wewe una feel the same,
kikubwa muaminishe kwa vitendo zaidi.
Maana hajiamini.
kikubwa muaminishe kwa vitendo zaidi.
Maana hajiamini.
mm nljua ukawa(ukimwi) aiseee
Yeye anakupenda sana, ila haamini kama na wewe una feel the same,
kikubwa muaminishe kwa vitendo zaidi.
Maana hajiamini.
Morning jf,
Let say upo kwenye relation but daily huyo mpenzi wako uliyenae daily ukiwa nae au mkiwa mko chatting anakuuliza unanipenda kweli hutonisaliti pia hutoniacha.
Hivi huyo mpenzi anakua ana maanisha nini hasa kwa maswali hayo ambayo daily anakua anayarudiarudia!
Uliwahi kuja na thread ya =>https://www.jamiiforums.com/mahusia...weka-mdogo-wake-profile-picture-wahatsup.html
Labda hii na baadhi ya matendo yako yanasababisha jamaa asijiamini!
inaonekana bado unanyonya..YEAH
Itakuwa ana moja ya sababu hizi hapa
1- ana mimba ambayo si yako na anafikiria akuambie ukweli ila anaogopa utamuacha.
2- kuna jamaa bado anampenda japo wameshaachana na wanaendeleza kwa kuiba.
3-ana midume mingi
4-viungo vyake vya mwili aviamini ( bwawa, uchafu au hajui mapenzi)
na mwisho huenda keshaharibiwa kisaikolojia na wanaume aliokuwa nao mwanzo.
Mkuu huyu ni mwingine sio yule alonuna baada ya kuweka picha ya mdogo ake whatsup.
noma sanaaa
inaonekana bado unanyonya..YEAH
khaa!! unanuka maziwa kinoma..
Kwa hiyo yule mlimwagana au ni two in One..
khaa!! unanuka maziwa kinoma..
Wooow!Thank you.
Ni two in one
Hiv , ndo nini? Una umri gani?
Mkuu huyu ni mwingine sio yule alonuna baada ya kuweka picha ya mdogo ake whatsup.