Fafanua vizur mi niwe mshirika wako....downloaders hapa utawapata wa kutoshaNaitaji mtu mwenye ujuzi na mambo ya application tushilikiane kuziendesha nnazo kama mbili na zote ziko play store na zina matangazo ya admob kazi ni kutafuta download tu na kugawana kinacho patikana alie tayari anicheki pm
Nakujia inbox mkuu tuongee vizurNataka mtu mwenye mda wa kutosha kutafuta download pamoja na kuendesha izo app mbili
Unaingiza mkwanja vp ukiwa na app?Naitaji mtu mwenye ujuzi na mambo ya application tushilikiane kuziendesha nnazo kama mbili na zote ziko play store na zina matangazo ya admob kazi ni kutafuta download tu na kugawana kinacho patikana alie tayari anicheki pm
Nifahamishe vzuriKupitia admob matangazo
Sitaki ushirika nataka kujua tuKama hujui ata app inaingizaje hela uwez kua mshilika
App inahusu nini toa maelezoNaitaji mtu mwenye ujuzi na mambo ya application tushilikiane kuziendesha nnazo kama mbili na zote ziko play store na zina matangazo ya admob kazi ni kutafuta download tu na kugawana kinacho patikana alie tayari anicheki pm
Oii mi nina muda kama wote. Coz sina kaz now emu tuongee bana. 0654541373Naitaji mtu mwenye ujuzi na mambo ya application tushilikiane kuziendesha nnazo kama mbili na zote ziko play store na zina matangazo ya admob kazi ni kutafuta download tu na kugawana kinacho patikana alie tayari anicheki pm
Naitaji mtu mwenye ujuzi na mambo ya application tushilikiane kuziendesha nnazo kama mbili na zote ziko play store na zina matangazo ya admob kazi ni kutafuta download tu na kugawana kinacho patikana alie tayari anicheki pm
Mshilika ndiyo Nani?Kama hujui ata app inaingizaje hela uwez kua mshilika