Tangu Zamani nimekuwa nikipata vijembe toka kwa mpenzi wangu wa long time kuwa , am not romantic, at the same time anasema am good in bed na ninamfikisha kweli, Sasa hivi juzi nimekutana na just a friend ( a girl) ambaye kwa kuangalia it was realy kuwa alikuwa anafall inlove kwangu,ukizingatia kuwa sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana na vitimbwi vyote vya kimahaba. then jana akaniuliza " hivi umeshawahi kuwa romantic???" akili ikaruka hadi ikakumbuka vijembe vya my lovee vya kila siku tukiwa na ugomvi. nimejaribu kumdadis nimeambulia patupu.
sasa najiuliza uwenda ni kweli, am not romantic, but hivi mtu kuwa romantic ndo ipoje hyoooo???? ..
MSAADA TAFADHALI!!!!
wewe siyo mtalaamu husninyo??? Nahis hapa kila mwanamke ana cha kusema.
Uko sahihi kabisa. U can perfotm well in bed but kuwa romantic ni ki2 tofauti kabisa. its more of tabia ya m2. Its the way u treat mwanamke mkiwa nje na ndani ya nyimba. Unavyozungumza nae, unavyomjali, unavyomtreat mbele za wa2, ukiwa nae unataka kila m2 ajue ni wako, unavyshika, kumsaidia kazi like kumpikia cku mojamoja si mbaya..etc. Kwa mfano i can say Obama is romantic coz of the way anavyomtreat mkewe mbele za watu.. THOUGH hatujui what he does in bed! I hope nimeeleweka kiasi
Nahisi Excel unataka kuuza gazeti la udaku upate kiki kupitia kwetu eeeh. Hiyo ni hisia kuwa Heaven on Earth yuko hivyo kwa patna wake
romantic maana yake kuwa shoga!!!!
naona siku hizi unabanwa eeh!!
nusu saa tu uko online, aliyekuweka chumbani ni mtani jembe bila shaka!
teh! chezea tatu moja wewe!!
hahahaa Mtani Jembe ni balaa....hanipi space mtoto wa mwanaume Mwenzio
nampa hongera bana! mwanaume kamili hutumia ......!!
tatu bila mara tatu kila siku!!
naomba usinielewe!!
wewe.......mara tatu imekuwa Paracetamol hiyo.............
si ataniua mie
Mi nahisi kuwa Romantic ni kupenda kimahaba tu!
....LOVE...
1 Normal love: rafiki na rafiki, mtu na mzazi wake etc.
2 Romantic love: ni mapenzi ya ke & ke wanaoweza kugegedana!!!
...
....Romantic...
Ni hali ya kumjali mwenzio, kumuonesha upendo wa hali ya juu! Kumdekeza, kujishusha, kumpetipeti n.k!
Kugegeda vizuri na kuongea usiku kucha haitoshi kabisaa kuwa na hiyo sifa (romantic)
....
Mara nyingi watu wenye sifa hiyo, huzaliwa nayo!
...
NB: hayo ni kwa mujibu wa uelewa wangu!
wewe.......mara tatu imekuwa Paracetamol hiyo.............
si ataniua mie
kaka umejitahidi! Lkn kwenye maisha halisi hayo mambo hayapo. Watoto wa siku hz hupenda kuiga vitu hv kwa wazungu na kukopi kwenye tamthilia. Ww jitahidi kumfumua vya kutosha, hz nyingine mbwembwe tu!