Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Jamaa ana akili snYupo mwingine wa kwa Nchunda huko kagera alikataa
Mimi nataka kufahamu.Sitaki kufahamu nini kilitokea baada ya hapo
Kwa mtu potential kazi ya ukuu wa wilaya ni very low!!
Siyo lazima wote tufanye kazi serikalini kama wanasiasa! Sekta binafsi ina mchango mkubwa sana kwenye uchumi.Kwa mtu potential kazi ya UDC Ni ngazi nzuri ya kuonyesha viwango na kufikia ngazi za juu za uongozi wa nchi.
Hakuna mahali nmesema ni lazima kila mtu afanye kazi serikalini.Siyo lazima wote tufanye kazi serikalini kama wanasiasa! Sekta binafsi ina mchango mkubwa sana kwenye uchumi.
Hakika. Pia kuna watu wengine tunapendelea kufanya kazi bila kujipendekeza pendekeza.RC,UDC,DEDE,DAS,RAS ni kulamba viatu wakubwa na kupiga mapambio ambayo ni uwehu, kwa mtu anayejielewa hawezi kufanya huo upuuzi.
Yatafumuliwa mengi na ukweli utajulikanaSiyo atakuwa alipotezwa kwa kumdharau jiwe?
Kuandika hujui halafu halafu hiyo ngazi gani utafika Hadi ukatae ukuu wa mkoa? Kwa uandishi huu labda ngazi ya umachinga.Ata Mimi kuna ngazi nikifika aya ukuu Wa Mkoa naukataa
Huyu na watu wa namna hiyo lazima alikuwa na baggage fulani ambayo hakutaka ijulikane. Tatizo lake ni kwamba aliupenda uDC ndipo akateuliwa, ila baada ya kuteuliwa akagundua kuwa ana mifupa kwenye kabati lake ambayo hataki ijulikane, na wakati huo akawa hawezi kuondoa jina lake kwenye uteuzi tena, ndipo akaamua kutohudhuria uapishwaji. Mtu kabla ya kuteuliwa, huwa unapewa taarifa kuwa mkuu anataka kukuteua kwenye nafasi fulani, je unaiweza. Mteuliwa mtumianiwa lazima akiri kuwa kweli anaweza kuimudu nafasi ie kabla uamuzi wa mwisho haujafanyika.Katika Historia, ndugu Ally Masoud Maswanya ndio Mtu pekee alikataa Uteuzi wa Rais Magufuli.
Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya lakini siku ya kwenda kuapa hakutokea. Walipompigia simu akaape, akasema yupo Ofisini anadeal na wateja wake.
Alikuwa Msimamizi wa Kampuni ya Tigo kanda ya Ziwa. Sijui sasa hivi yupo wapi na anafanya nini.
Pia Soma: Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu
Ipo wazi hiyo imeishaSitaki kufahamu nini kilitokea baada ya hapo