Mtu na nduguye - Inafaa?

kichwa kidogo kikisimamia maamuzi kichwa kikubwa huwa hakifanyi kazi,huyo mwanaume anaongozwa na hicho kichwa kidogo
 
hahaaa chating yao bana, i hv no comment, bt ukiona mshale unaonyesha nawe fuata then utafika.
 
hii ni ajabu..........ndo ukisasa huu, vjana ndugu wanaongea ama kutenda mambo ya ajabu wakisingizia ndo ukisasa, ukimuuliza utasikia "kwani kuna shida gani", ndo hao kaka mtu akisikia mdogo wake anapotea kwa lolote baya hawezi mkanya coz of mazingira yaliyopo kati yao, dunia inaenda kubaya, duh
 
Si mumeo wa ndoa huyu??? Yaani hata ndugu zake wa karibu huwajui......hata kamayuko nje si ni lazima uambiwe shangaz MwaJ ana mtoto yuko Uk ndo mkubwa wa Shabani yule alokuwaga anakuja kukuita kwenu mi nikiwa nakusubiri pale chini ya mti.......eboo hebu jikaze mtoto wa kike

Afadhali umeuliza wewe, manake na mimi nilikuwa najiuliza huyu mama nae wa namna gani, yaani hujui ndugu wa mumeo? au ndio hizi ndoa za voda fasta??
 
Mmmh......how strong are you in sex anyway; kwa mwanzo huu wa automatic reflex and the alarms are all on wewe unakusanya kusanya nguvu isijekuwa ndo sababu ya mumeo kuhaha nje......yaani majibu yako ni soooo spineless .

Kweli ni mke wa ndoa au unatupandisha munkari wa shari bure tu hapa......????
Unajua tofauti ya mke, kimada, fiancee na girlfriend?????................

yaaah kimsingi yuko naive sana!hajiamini kabisa!huyo mume kama ni wake she has to stand na kunusuru hyo ndoa na huyo binti amuulize wewe ni wifi yangu au mke mwenzangu,then LIWALO NA LIWE!
 
Back
Top Bottom