Mtu na mzazi mwenzie

Mtu na mzazi mwenzie

Yaani kwa kifupi unaendeshwa na huyo hawara yako ambaye huna hata malengo naye! Huo ni utoto uliopitiliza, halafu inakuwaje unakuwa muoga muoga kama sio mwanaume?

Mwanaume jiamini we vp!!!!!!! Mchepuko ataniambia nini cha kunitisha tisha eti "Mimi na wewe baaas" , halafu nitishike kwa hilo tu!!!????? Hell NO.

Nadhani humtombi kisawasawa umtikite umtikise hadi asivae chuppi kwa kuona inamkera ikimgusa kwenye QUUMMMA yake nyokkko zake huyoooo!

Unakoelekea utakosa vyote. Kwa mkeo unaharibu na kwa huyo controller wako mchepuko unatetemeka tetemeka kama vile yeye ndio kashikilia uhai wako mvulana weeeeee!

Ukue sasa uache utoto
 
Wadau poleni sana na tozo na mambo mengine kadha wa kadha. Iko hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke fulani kwa muda wa miaka mitatu sasa unaenda mwaka wa 4.

Hii ni nyumba ndogo(mchepuko), sasa mchepuko huyu kuna mwamba kazaa nae mtoto wao ana miaka 5 kwasasa, na mwamba hawajajibiki kwa lolote hasa matunzo ya mtoto kwa mujibu wa maelezo ya mama mtoto.

Upande wangu mi nimeoa, tena ndoa ya kanisani kabisa nina mke na watoto wa 3. Sasa kuna kipindi katikati hapo tulitengana kidogo na mke wangu kwa mambo ya hapa na pale(wanandoa mnaelewa), akaamua kuondoka kwenda kwao akakaa kama miezi miwili hivi.

Wakati wote wife hayupo nikahamia nyumba ndogo, nikaendelea kumuomba mke wangu msamaha kwa mawasiliano ya siri nikiwa huku nyumba ndogo.

Baadae mke wangu akakubali kunisamehe na kurudi nyumbani, siku yake nikazuga naenda safari mahali mara moja(namna nilivyoaga huku nyumba ndogo) ili mradi nipate mpenyo nirudi home kwa wife.

Nilipotoka nilienda na nikafanikiwa kuonana na wife pale nyumbani vizuri kabisa. Sasa kule upande wa pili si niliaga nasafiri, ikabidi nirudi safari yangu sasa. Ile narudi nimefika tu, nikaenda kuoga narudi mtu anasema naomba simu yako(nyumba ndogo).

Ile kuchukua simu akakuta picha zangu na mke wangu na watoto wangu! Akaanza kuniuliza we kumbe na mkeo mmerudiana, nikamwambia ndio. Japo tangu tunaanza mahusiano alikuwa anajua kwamba nimeoa na nina familia yangu!

Baada ya kuona zile picha akasema mimi na wewe sasa basi! Upande wake na huyo mzazi mwenzie wanawasiliana, japo kwa siri akiwasiliana naye anafuta call history, kama ni whatsapp anafuta charts zao .

Sasa siku nikakuta picha ya matokeo ya mtoto wake ya shuleni kwenye whatsapp sent image, namuuliza anasema nampangia kwa kutuma matokeo ya mwanaye?

Baadae akasema mdogo wake alipiga picha akamtumia baba mtoto wake(Shemeji mtu). Kifupi mi nimechanganyikiwa tu, sijui nimfanyeje huyu mwanamke mana nimemgharamia .
This is hilarious 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa nyie vipi tena...yaani wee huyo mcheps kugongwa na baba mtoto una kasirika kweli😲😲
 
Subiri ufie huko mke wako na watoto wako watajua Cha kufanya, vitu VINGINE ni upuuzi Tu alafu mizee ya hivi ikizeeka utaisikia I HAVE NEVER HAD A HAPPY LIFE stress mnajitakia wenyewe gademitiiii
 
Utapigwa kote kote na kujikuta huna upande wa kusimamia maana unaonekana hujui kuzichanga vizuri karata zako.

Baki njia kuu uwezo wa kuwa na mchepuko huna. Haya mambo unatakiwaga uplay smart ili njia kuu isione dosari yoyote ile, halafu mchepuko uiheshimu nyumba kubwa.

Usipokuwa makini utaachwa na mkeo halafu mchepuko atarudi kwa aliyezaa naye. Usiwekeze nguvu kubwa kwa wapita njia badala yake wale wa kudumu tu. Halafu usiwe na wivu kwa mchepuko muda wowote unakuacha au unauacha.
 
Wadau poleni sana na tozo na mambo mengine kadha wa kadha. Iko hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke fulani kwa muda wa miaka mitatu sasa unaenda mwaka wa 4.

Hii ni nyumba ndogo(mchepuko), sasa mchepuko huyu kuna mwamba kazaa nae mtoto wao ana miaka 5 kwasasa, na mwamba hawajajibiki kwa lolote hasa matunzo ya mtoto kwa mujibu wa maelezo ya mama mtoto.

Upande wangu mi nimeoa, tena ndoa ya kanisani kabisa nina mke na watoto wa 3. Sasa kuna kipindi katikati hapo tulitengana kidogo na mke wangu kwa mambo ya hapa na pale(wanandoa mnaelewa), akaamua kuondoka kwenda kwao akakaa kama miezi miwili hivi.

Wakati wote wife hayupo nikahamia nyumba ndogo, nikaendelea kumuomba mke wangu msamaha kwa mawasiliano ya siri nikiwa huku nyumba ndogo.

Baadae mke wangu akakubali kunisamehe na kurudi nyumbani, siku yake nikazuga naenda safari mahali mara moja(namna nilivyoaga huku nyumba ndogo) ili mradi nipate mpenyo nirudi home kwa wife.

Nilipotoka nilienda na nikafanikiwa kuonana na wife pale nyumbani vizuri kabisa. Sasa kule upande wa pili si niliaga nasafiri, ikabidi nirudi safari yangu sasa. Ile narudi nimefika tu, nikaenda kuoga narudi mtu anasema naomba simu yako(nyumba ndogo).

Ile kuchukua simu akakuta picha zangu na mke wangu na watoto wangu! Akaanza kuniuliza we kumbe na mkeo mmerudiana, nikamwambia ndio. Japo tangu tunaanza mahusiano alikuwa anajua kwamba nimeoa na nina familia yangu!

Baada ya kuona zile picha akasema mimi na wewe sasa basi! Upande wake na huyo mzazi mwenzie wanawasiliana, japo kwa siri akiwasiliana naye anafuta call history, kama ni whatsapp anafuta charts zao .

Sasa siku nikakuta picha ya matokeo ya mtoto wake ya shuleni kwenye whatsapp sent image, namuuliza anasema nampangia kwa kutuma matokeo ya mwanaye?

Baadae akasema mdogo wake alipiga picha akamtumia baba mtoto wake(Shemeji mtu). Kifupi mi nimechanganyikiwa tu, sijui nimfanyeje huyu mwanamke mana nimemgharamia .
Muulize mkeo ufanyaje! Mpuuzi wewe!
 
Bro unaona wivu kwa mchepuko?

Sikia, kata huduma ya matumizi kwa mchepuko. Heshima itarudi.
 
Sasa hiyo si both teams to score wajameni? Nyie wote n wezi af mnawekeana mipaka? Mpe uhuru na we chukua uhuru. Mkikutana n kazi kazi baaas.

Shida n hiyo we umeenda kwa mchepuko badala ya kuwrka mguu ndani mguu nje, umevua nguo zote ukaamua kuogelea mazima.

Kwanza tabia gani ya kumueleza mchepuko kuhusu wife wako? Senzi sana we jamaa!
Bangida both team to score? (GG)?
 
Kama una mashamba mawili, Moja Lina minazi mitatu uliyopanda mwenyewe na lingine la pili Lina Mnazi mmoja, Tena umeukuta tu hapo Shambani!

Akitokea MTU akikutaka uachie shamba Moja wapo kati ya Shamba lenye minazi mitatu uliyopanda mwenyewe vs shamba la Mnazi mmoja Tena uliopandwa na mtu mwingine, utachagua kupoteza Shamba lipi? Usinijibu! Mshukuru Mungu
 
sijui kama sijakuelewa hivi, yaani mchepuko alianza kuona picha za wewe na full wife, akasema iwe basi muachane halafu baada ya siku na wewe ukaona picha ya matokeo yakitumwa kwa kaka yako yaani aliyeanza kumpeleka leba.

natafuta ukweli wa story yako.. yaani mmeshaachana ila bado uliona picha kwenye simu yake?
au ni chai hii nayo
Soma vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom