Mtu mzima dawa.

Mtu mzima dawa.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Baada ya kumzika changudoa mmoja maarufu,watu walishindwa kuamua waandike nini kwenye kaburi lake.Hatimaye akajitokeza mzee mmoja akaandika;AT LAST SHE SLEPT ALONE!
 
Teh unaweza kuta kuna watu walitamani kuingia nae walale nae ila tu kwa kuwa watu walikuwa wengi ndo wakaamua kupotezea.
 
Baada ya kumzika changudoa mmoja maarufu,watu walishindwa kuamua waandike nini kwenye kaburi lake.Hatimaye akajitokeza mzee mmoja akaandika;AT LAST SHE SLEPT ALONE!

hii nayo kali ya mwaka,big up mzee
 
Inaonekana huyo mzee alikuwa na profile ya kutosha kwa marehemu
 
Back
Top Bottom