Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,162
- 705
Huwa napata changamoto nikijichanganya na marafiki zangu kupata vinywaji pamoja.
Mimi ni mtu mzima, ila sinywi pombe wala kutumia kilevi chochote. Wananishangaa sana na kujiuliza kwa nini situmii pombe na wananiona kama mtu wa ajabu sana. Tatizo liko wapi kama mtu mzima hanywi pombe?
Kinywaji changu kikubwa ni mchanganyiko wa Grand Malt na Coca-Cola na huwa nakifurahia na kunywa sana. Tusiokunywa pombe tunaonekanaje? Kuna ajabu gani kwa mtu mzima kutokunywa pombe? Anakosa nini? Kuna tatizo gani kwa mtu mzima kutokunywa pombe?