Mtu mweusi alitoka wapi?

Jibu:

Apes... Sokwe...!! Huoni kuna mzee mmoja Warasi almost ni sokwe yuko under evolution bado..!!
 

kwann hawabadiliki sasa
 
Una uhakika walikuwa wazungu?
 

nimekupata mtu wangu wa nguvu!
 
Weupe wa Adam na Eve ulitokea wapi??
Kwani hukusoma history ukapata kufahamu fuvu la mtu wa lake zaidi lilipatikana wapi??
 

ndugu hii simulizi yako ni ya kujitungia waziwazi kabisa. asante kwa kushiriki
 
Historia ya awali ya kutafuta wapi binadamu wa kwanza alipoishi ipo hivi, wana archiolojia wa miaka hiyo walikuwa wakihangaika kutafuta mtu wa kwanza huko maeneo ya mashariki ya kati, ulaya na asia. nguvu nyingi zikiwa zimeelekezwa asia ambapo walipata mafuvu kadhaa ya zamani walikua hawadhani wala kufikiria kua mtu wa kwanza anaweza tokea afrika ila ni Dkt. Leakey alijaribu kutafuta afrika na fuvu alilokutana nalo lilikua lina pishana kwa zaidi ya miaka millioni na lile lililopatikana asia. hii iliwafungua vichwa wakaanza kuchimba afrika mpaka sasa mafuvu ya afrika ndo mafuvu mazee kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.

Waafrika(weusi) tuna akili nyingi sana sema tu hatujisomei. ukisoma vitabu vya dini binadamu wa kwanza MWEUPE ukisoma sayansi binadamu wa kwanza MWEUSI hii ndo sababu kubwa na ya kipekee nayoipendea sayansi kuliko dini. science ndo sehemu pekee wazungu hawawezi kui twist.VIVA science VIVA
 
Cha kushangaza unatafuta hasili yako kwenye ko za wengine ukiwa na shaka na weusi hanza mkorogo.
 
Tafiti zinaonesha asili ya mwanadamu ni Africa.
 
Mtu mweusi alitoka wapi???


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole sana kama bado unaamini uongo wa juzijuzi tu, Dunia imekuwepo zaidi ya miaka milioni 10, hivyo vitabu vyako historia yake ni ya miaka 2000 tu, na huo uongo ulikuwa unafanyakazi enzi hizo kabla ya utandawazi na sayasi haijawa ya hali ya juu.MOTO tu huu tunaopikia uligundulika kati ya mwaka laki 3 na laki 5, hapo ni kabla yesu hajazaliwa. Binadamu wa kwanza aliishi africa na alikuwa mweusi, ulaya na kwingineko walihamia tu na wakiwa weusi ila walibadirika taratibu kulingana na mazingira ya huko.
 
Ukitafuta historia ya mtu mweusi kwennye bibilia tayari unakuwa umeshafeli.
 
Sasa Ukiangalia imani zote utaona, chanzo cha Uzao wote, unanzia asia, sasa mzungu azaliwe asia na sio mwarabu.

Hapa wazungu wamejipendelea tu, kuna kauwongo hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ukweli upo kwenye Bibilia, jibu hili swali, Yesu, wote waliotajwa kwenye kitabu hicho wote, wamezaliwa Mashariki ya kati na maisha yao kuishia huko, mashariki ya kati ni uzao wa waarabu.
Iweje mtu wa kwanza aliezaliwa asia awe mzungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo auja jibu chochote ukisema rangi ili anza kubadirika sasa kama original alikuwa mzungu mbona kuna watu weusi ambao wanazaliwa ulaya awa geuki rangi kuwa watu weupe? Kama nyingi ina badirika kulingana na hali alisi ewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…