Mtu mwenye wadhifa wa urais katika nchi ya Tanzania anaheshimiwa au anaogopwa?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,312
152,112
Ukipata jibu sahihi ndio utajua ni kwanini kila siku tunalalamika na ni kwanini tutaendelea kulalamika mpaka siku "masia" atakaporudi duniani.

Tumeweka jitihada zetu katika kulalamika na tumelala usingizi wa pona katika kujikwamua kutoka katika hali hii.

Yule jamaa aliposema sisi malofa hakukosea kabisa.
 
Mie mbane matumizi msibane shauri yenu,nilizaliwa miaka 40 iliopita but ktk mto ule ambapo mama yangu alikuwa ana jota maji akiwa amenishika mkono ndipo hapo hapo hata leo alipochoto maji...............upumbavu ni mkubwa sana ktk nchi hii.nini ilikuwa maana ya vijiji?.Ardhi yetu haina hati hivyo hata kukopa benki ya posta hakuna......stupid.Kama magufuli ana nia nasi basi ardhi yote ya tanzania ipimwe na tupewe hati.Kama kenya.
 
Ili kuwe na maendeleo ulitaka serikali ihamishe mto au? Halafu huko kwenu kama mama yako bado anachota maji mtoni hadi leo mpe pole kwa kuzaa mtoto zezeta.MMESHINDWA NINI KUWEKA Tanki la maji na pampu ya kusukuma maji kupeleka bomba huko kwa mama yako? Mnasubiri nini? Serikali ije iwafungie tanki na iweke pampu na kutandika bomba za plastic? Hivi elimu mliyosoma inasaidia nini watu wa kijijini kama mto upo mnashindwa hata kuvuta maji tu toka mtoni kupeleka kwenu? Hivi mko wasomi wangapi hicho kijiji hamwezi kujimobilize kuleta maendeleo hapo kijijini? Naomba usizoee tu kwenda study tour ulaya tembelea pia kilimanjaro uone wasomi wa kule wanavyopeleka maendeleo kwenye vijiji vyao.Inaonyesha wewe bado uko enzi za mawe (stone age)

Hilo la kukopa kwa kuweka rehani ardhi unaota.Hakuna benki itakupa mkopo kwa ardhi tu.Tena ya kijijini sahau.Benki inataka mazao yaliyo kwenye ardhi ambayo yanauzika na yana soko la uhakika.Kama ni mjini una nyumba nyumba pekee sio dhamana inayopendwa na mabenki.Mabenki hupenda nyumba za biashara za kupangisha ambazo hata ukishindwa kulipa mkopo benki inachukua inajua itarudisha mkopo kupitia kodi ya pango.

Wahindi hawana ardhi wala hati ya nyumba lakini hukopa mabilioni kwenye mabenki kwa kuwa wana biashara za uhakika zenye wateja wa uhakika ambao hata benki inawakubali.Wahindi wanapanga nyuma za National Housing lakini akienda benki hachukui hata saa moja anatoka na mkopo wa mabilioni sababu wanamjua aweza kulipa ana vyanzo vya mapato ya uhakika ya kueleweka.

Wewe katafute shughuli za kueleweka benki watakufuata wenyewe wala huhitaji kuwafuata.Mfano ukiajiriwa watatua kwako kutaka kukukopesha.Wanajua una pato la kueleweka.Lakini hata uwaonyeshe una ekari mia zenye hati utakuta wanafyonza tu wala hata usoni hawakutazami.Watu kibao wana hizo hati lakini hawawezi kanyaga benki kutafuta huo mkopo

Kenya kuna tatizo la ardhi wakati tanzania ardhi iko kibao.Si ukaichukue upime mwenyewe ardhi k kila kona ipo.Eti magufuli atugawie atupimie.Wewe nadhani si mtanzania ni mkenya.Na kama ni mtanzania ni wale watanzania waliolala fofo ambao hawazishughulishi akili zao.Wanalala wanaota Magufuli awasaidie na watu wa aina yako wengi wanapatikana UKAWA.
 
Tunamheshimu kama kiongozi, rais anaeogopwa sio wetu
Wanaoogopwa ni ma dictator ambao wanaomzingua anawauwa
 
Hahaaaaaa, dah, comments za jf kama una roho nyepesi, unaweza lala mbele forever

Yehodaya una hasira na nani humu ndani
 
Raising akiwa dhaifu kama aliyepita haogopeki, watu smart kama myika wanamwambia mapungufu take hadharani
 
Ili kuwe na maendeleo ulitaka serikali ihamishe mto au? Halafu huko kwenu kama mama yako bado anachota maji mtoni hadi leo mpe pole kwa kuzaa mtoto zezeta.MMESHINDWA NINI KUWEKA Tanki la maji na pampu ya kusukuma maji kupeleka bomba huko kwa mama yako? Mnasubiri nini? Serikali ije iwafungie tanki na iweke pampu na kutandika bomba za plastic? Hivi elimu mliyosoma inasaidia nini watu wa kijijini kama mto upo mnashindwa hata kuvuta maji tu toka mtoni kupeleka kwenu? Hivi mko wasomi wangapi hicho kijiji hamwezi kujimobilize kuleta maendeleo hapo kijijini? Naomba usizoee tu kwenda study tour ulaya tembelea pia kilimanjaro uone wasomi wa kule wanavyopeleka maendeleo kwenye vijiji vyao.Inaonyesha wewe bado uko enzi za mawe (stone age)

Hilo la kukopa kwa kuweka rehani ardhi unaota.Hakuna benki itakupa mkopo kwa ardhi tu.Tena ya kijijini sahau.Benki inataka mazao yaliyo kwenye ardhi ambayo yanauzika na yana soko la uhakika.Kama ni mjini una nyumba nyumba pekee sio dhamana inayopendwa na mabenki.Mabenki hupenda nyumba za biashara za kupangisha ambazo hata ukishindwa kulipa mkopo benki inachukua inajua itarudisha mkopo kupitia kodi ya pango.

Wahindi hawana ardhi wala hati ya nyumba lakini hukopa mabilioni kwenye mabenki kwa kuwa wana biashara za uhakika zenye wateja wa uhakika ambao hata benki inawakubali.Wahindi wanapanga nyuma za National Housing lakini akienda benki hachukui hata saa moja anatoka na mkopo wa mabilioni sababu wanamjua aweza kulipa ana vyanzo vya mapato ya uhakika ya kueleweka.

Wewe katafute shughuli za kueleweka benki watakufuata wenyewe wala huhitaji kuwafuata.Mfano ukiajiriwa watatua kwako kutaka kukukopesha.Wanajua una pato la kueleweka.Lakini hata uwaonyeshe una ekari mia zenye hati utakuta wanafyonza tu wala hata usoni hawakutazami.Watu kibao wana hizo hati lakini hawawezi kanyaga benki kutafuta huo mkopo

Kenya kuna tatizo la ardhi wakati tanzania ardhi iko kibao.Si ukaichukue upime mwenyewe ardhi k kila kona ipo.Eti magufuli atugawie atupimie.Wewe nadhani si mtanzania ni mkenya.Na kama ni mtanzania ni wale watanzania waliolala fofo ambao hawazishughulishi akili zao.Wanalala wanaota Magufuli awasaidie na watu wa aina yako wengi wanapatikana UKAWA.

Umenena mengi muhimu mtu kuzingatia
 
Back
Top Bottom