Mtu mwenye msimamo

Mtu mwenye msimamo

Mkuu ninempuuza tu pale alipoanza kuchangia kwamba kuwa na msimamo sio Muhimu.
Lakini Kiranga hajasema kuwa misimamo si jambo la muhimu. Ila alitaka kujua kilichomo kwenye huo msimamo nini? Yaani kusimamia nini ili msimamo uwe msimamo?
 
Watanzania wengi wana matatizo katika kuweza kusoma kwa ufahamu na kufuatilia mantiki.

Inakuwa kama vile inabidi katika kila post, baada ya kuandika, unatakiwa uweke Venn diagram kuonesha kwa picha ya set, subset, intersection, union etc, kuelezea ulichoandika.

Yani unamwambia mtu kimoja, yeye anajipangia kusoma kingine tofautii!
 
Haya mzee wa grammar
 
Back
Top Bottom